"Hakuna jambo lolote baya litakalompata mtu aliekutendea mabaya" Ukiweza kusamehe samehe halafu endelea na maisha yako,pale unapotarajia kumuona akipata shida af ukamuona anazidi kufanikiwa chuki hujengeka. Hata muuaji akitubu anayo nafasi ya kuingia mbinguni
#NotASocialMediaGuru
My starting XI (prediction)
1. Diarra
2. yao
3.zimbwe jr
4. Job
5. Bacca
6.Mohamed Damaro
7.Duke Abuya
8.Maxi Nzengeli
9. Dube
10. Mudathir yahya
11. Pacome
okello na depu watulie kwanza au waanzie benchi.
FT ahaly 0 - 2 yanga
#notasocialmediaguru
Kuna yule mchezaji ambaye alisajiliwa na timu yako na unaamini kabisa ni mtu haswa lakini kwasababu tu tofauti haikufanikiwa kwake na inakuuma mpaka leo
I will start : Angel Di Maria
π Dodoma | #SikuYaVijanaKimataifa2025 ;
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu β Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus, ametembelea wadau wa maendeleo ya vijana katika eneo la maonesho Mabeyo Complex, Jijini Dodoma, leo Agosti 12, 2025.
#VijanaNaMaendeleo
Kupitishwa na Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ni heshima kubwa, lakini ni mwanzo tu wa Safari ya kuleta na kuendeleza mabadiliko chanya kwa wananchi wa Ubungo.
Tushirikiane na Kuombeana katika kuandika historia nyingine Jimbo la Ubungo.
#GogaWaMsoga | #KaziNaUtu |
@mee_nicodemus@_mlay_ I think anajaribu kuongelea possibility ya yeye kufit position nyingine. Kwasababu raphinha naturally ni RWF, this time tumemuona akitokea LWF and ofc amefanya vizuri with nico's presence means raphael will have to play either 10 or 9 which we're not sure of his performance hapo
The fight against all forms of GBVs and harmful practices should be intensified despite
the unprecedented challenges related to anti-gender movementsaccessible, and publicly subsidised, Comprehensive were selected for deeper regional focus.
#AfriYANTz#DayOfTheAfricanChild2025
It was great to have you @AfriYANTanzania and listen to your priorities around adolescent health. We look forward to working with you more to champion SRHR for young people and youth-led accountability. Viva AfriYAN!
Kwanza pole sana,
This is #LetsTalkTz ni intervention yenye activities za online na offline zilizo chini ya taasisi ya @AfriYANTanzania . Hii #LetsTalkTz ya online ina lengo la awareness raising kuhusu Afya ya Uzazi, Matumizi ya Kondomu, Ukatili wa Kijinsia na Mimba za Utotoni.