3 vintage earpods
Achana na zile zingine, hizi zimekata kishua ,zinamfanya mteja apende uzuri wa box , itakayomfanya avutiwe zaidi kununua
Bei yake ni 305,800 sawa na 6116 per piece , bei ya kuuza ni 25000-30000
Vitu unique ndio vinakupa wateja🤜🏾🤛🏾
🚨🏅 OFFICIAL: Premier League vote Senne Lammens as PL Signing of the Season. 🇧🇪
🇧🇷 João Pedro
🇨🇭 Granit Xhaka
🇫🇷 Rayan Cherki
🇫🇷 Adrien Truffert
🇸🇪 Viktor Gyökeres
🇧🇪 Senne Lammens
🇬🇭 Antoine Semenyo
🏴 Dominic Calvert-Lewin
#MUFC goalkeeper wins. 🫱🏻🫲🏼
Namna unavyo-save majina kwenye simu inaendana na umri. Kuna umri ukimsave mtu hata kwa herufi moja tu unamkumbuka.
Kuna umri unamsave mtu kwa majina yote matatu, ikiwezekana na kazi yake au eneo mlipokutana ili umkumbuke..😅🫵🏾