Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Hassan Ali Hassan Mwinyi, mtoto wa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi na kaka wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi. Nawapa pole wanafamilia kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu amrehemu Hassan na amjaalie Pepo. Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun.
@PabloYende@HKigwangalla WAKO SAWA TU WALA SIO WAKATI MGUMI BALI VIGEZO NA MASHART NA ITFACK ZIZINGATIWE TU.NDIO MUHIMU USNITCH NDIO AUTAKIWI .KUWA KIDUDUMTU
๐๏ธ๐น๐ฟโ๏ธ๐
๐ดTEUZI
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania-TPDC
@fatma_karume Sijakuelewa wapi alipo sema upinzani ni uhalifuu?
Au nyie ndio mnaosema nchi inatakiwa ikombolewe wakati ilisha kombolewa ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Tujiandae KUHESABIWA na tutoe taarifa sahihi
Kufanya hivyo nikutimiza wajibu wako ktk Taifa lako ๐น๐ฟ Pamoja Tunaweza popote ulipo Uzalendo kwanza Kazi iendeleee ๐ซone love
@mpendahakiiii@SuluhuSamia Wahusika wawajibishwe
Aiwezekani sisi tunataabika na mfumuko WA Bei wakati watu wanageuza Tanzania ๐น๐ฟ shamba la bibi wachukuliwe hatuwa ๐
@kigogo2014 Tunaomba sana wahusika wamsaidie RAISI wetu kupunguza makali ya maisha vitu VINAPANDA Bei Kila siku Tunaumia sana
Wakati Kuna wataam ,Kuna wasaidizi wa Rais ,Kuna wabunge,Kuna wizara husika,jmn Tunaumia sana WA๐น๐ฟmaskini mtusaidie kuthibiti kupandwa Kwa vitu kunako endelea ๐น๐ฟ๐ญ