@Meku_255 Kufanya vzuri haiangalii kufunga tu ni aina uchezaji kwa ujumla, namna mchezaji alivyocheza aina ya magoli, hata kipa au beki anaweza kucheza vzuri akawa na rate kubwa.
@zoetjesheeftX Ukweli: hii skukuu eid al adha ni sikukuu inahusisha uchinjaji wa wanyama walio orodheswa kwa namna inayokubalika, nyama nyengine hugaiwa kwa maskin na wayu wenye uhitaji.