Huwa sijihusishi sana na ku-post habari za viwanja lakini mpaka umeona nimeileta hapa ujue nimejithibitishia na kuridhika kwa asilimia 100, ukubwa wa eneo linalouzwa ni eka mia tatu ( 300 ) zinazopatikana katika eneo la Zinga, Bagamoyo Pwani, hili ni bonge la fursa kwa wenye ndoto za kujenga Viwanda au project kubwakubwa.
Hili eneo linaanzia kwenye barabara kuu ya Dar es salaam - Bagamoyo kama inavyoonekana kwenye baadhi ya picha na limezungukwa na huduma nyingi muhimu kama umeme, maji, Hospitali na Shule, Mimi na Timu yangu tupo tayari kukupeleka site kujionea, kuwa huru kutupigia simu iwe ni usiku huu au kesho ๐ 0703 100 100.