Kolo ameishinda hii vita, ali chola mchoro huu akajua wapi atapita, akajua lini na wapi itafika kwa manufaa yake. What bothered me ni kwamba hakuma atakae kutana na lungu lungu la adhabu, that means this country values "BUSARA" more than any social or economic impact...๐๐
Kwahiyo Nyanda wa @fountaingatefc3 aliuza mechi, lakini huyu wa kolo ni makosa ya kibinadamu. Hypocrisy on upmost stupendous confectionery.....๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kulikuwa na wimbi kubwa la kuhamasisha kwamba Yanga hashindi kihalali, nafikiri kuna haja ya nguvu hiyo kutumika kwa timu nyingine. Ama tuendelee kuwa busara kwa marefa..
Design kama nime ingiwa na hashk ya kulima na my wetu baada ya kumbamiza lamba lamba. Huyu mzee wetu wa bodi ya ligi tuta malizana nae kimya kimya. Lakini ajue bado tupo nae. Au unasemaje mwananchi @MarekaMalili
Hawa Azam sio wa kuwaonya kwa goli chache , tuna takiwa leo waongezeke kwenye ile list ya timu ambazo tulizo zipa kamba "zingi zingi". Kuna kitabia kina tengenezwa cha kuto kuhalalisha ushindi na ushindani wa Yanga
@MarekaMalili Hawa sio wa kuwaonya , una takiwa leo waongezeke kwenye ile list ya kamba timu tulizo zipa kamba zingi zingi. Kuna kitabi kina tengenezwa cha kuto kuhalalisha ushindi na ushindani wa Yanga