Nadhani Uchaguzi mbaya wa mbinu toka benchi la ufundi na Ahadi Ahadi nyingi pia zimechangia kuweka pressure Kwa wachezaji wetu na kupelekea kucheza hovyo hasa kipindi Cha kwanza !!🥱
@najiniusnaj77 Asichoelewa shangazi ni kwamba mbali na hiyo 4mil anayoizungumza na kuizidisha mara idadi ya miezi alobakiza fei kwenye mkataba wake, @yangasc1935 imewekeza kwa fei zaidi ya hiyo pesa ambavyo havipo kwenye mkataba, lazma wazingatie hayo yote kwenye kumpa au kutoa thamani
@najiniusnaj77 Hakuna anayemlazimisha Feisal kucheza @yangasc1935 Club imemtaka mara kadhaa aje aielete club inayomtaka ikae mezani na club yake biashara ifanyike aondoke zake