Tunalisha
Mbwa Wenye Njaa Wakishiba Wanapata Nguvu Ya Kutung'ata
Tunatibu Majeraha Ya Kung'atwa Na Mbwa Tuliowapa Nguvu Ya Kutung'ata.
Halafu Tukishapona Tunaendelea Kuwalisha Mbwa Wengine Wenye Njaa
Duniani Tunaishi Kisha Tunaisha
Tunalala Tumechoka Tumekata Tamaa Ila Tunapoamka Na Kuona Tuna familia Zinatutazama Hatuna Budi Kukaza Moyo Na Kuongeza Juhudi Ya Kupambana Ipo Siku Tu Tutafanikiwa
✍️✍️✍️✍️....