MBEYA: Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutherani Tanzania (#KKKT), Steven Kimondo ametoa kauli hiyo kwenye mahojiano yaliyorushwa na Royal TV.
Zaidi bofya https://t.co/ZhljuDqZXr
#JamiiForums#HumanRights#Demokrasia
Kuna kipande cha barabara kilijengwa Kilimanjaro, kati ya Bomang’ombe na KIA, hakijamaliza miezi sita ila tayari kimezibwa viraka vinaweza kufika 100.
Labda mtu aje atoe ufafanuzi kuwa vile siyo viraka.
Naamini kuwa tukiamua tunaweza kujenga barabara kwa viwango ambavyo mashimo kutokea ni bahati mbaya au extreme conditions.
Juzi niliona “wanafunzi wa vyuo vikuu wameandamana” kupongeza juhudi😂😂😂😂.
Kijana hana ajira wala prospect ya maisha lakini ana nguvu ya “kupongeza😎😎.”
Acha tuendelee kuwasikiliza Wakenya!
@godbless_lema Vyuoni kazi kudanganya ma first year usipochukua kadi ya ccm hutapata msaada kokote, alafu bado wanasema wao ndio watajenga nchi how?? For all 64 years, hawana cha kusimamia zaidi ya wizi na kuweka watu wasio na uzalendo kwa nchi!
‼️🚨BREAKING NEWS‼️
DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄
Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!
Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!
Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
@bohny_chengula@lifeofmshaba Sema kweli watanzania hasa wafanya biashara sio waungwana, tamaa ya faida kubwa kitu kanunua 2000/- unaweza uziwa hata 20,000 na bado hawaridhiki, ndio maana mtu akija na bei halisi kaweka 40-50% faida anapigwa vita sana same applies to wachina hapo!