Eti tume ikatafute waliochochea, waliotoa fedha, na waliofadhili 'vurugu na uvunjifu wa amani.' Samia asituone sisi ni wajinga. Hii blackmailing itafeli vilevile, na lazima Samia awajibike kwa kuuwa watu indiscriminately.
Hi Watanzania, kwa sasa niko busy mnooo na jambo la msingi, very soon mtajua nilikuwa busy na kitu gani.
So kwa sasa I’m not focused kwa kudai haki huku kwenye social media, nipo busy napambana kiundani zaidi..:.:
Soon wote mtajua what was keeping me busy. And it will be great news to Tanzanians, GOD WILLING.
🗣 Xabi Alonso: "For sure it's a process, it's minutes for everyone and now we have two more before we go back to London and then we will be the ones that will start the season. For sure we are a big part but we are missing another big part as well."
Please take a moment from your day today to pray for Hon. @TunduALissu. May he be granted strength, protection, good health, and the courage to continue standing for justice and democracy.
Tafadhali chukua muda katika siku yako ya leo kumuombea Mheshimiwa @TunduALissu. Mwenyezi Mungu amjalie nguvu, ulinzi, afya njema, na ujasiri wa kuendelea kusimama kwa ajili ya haki na demokrasia.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, amesema mazingira ya siasa nchini yamebadilika na kutofautiana na enzi za viongozi wa upinzani kama Freeman Mbowe, Agustino Mrema, Profesa Ibrahim Lipumba na Dk. Wilbrod Slaa, akidai kuwa kwa sasa badala ya ushindani wa hoja kumekuwepo matukio ya utekaji wa wanasiasa na wanachama wa vyama vya siasa.
Akizungumza leo Jumatatu, Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime, Heche amesema hata viongozi na wanachama wa chama hicho wamekuwa wakikumbwa na matukio ya kutekwa bila Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoa kauli ya kuyalaani.
"Ametekwa hapa aliyekuwa mgombea udiwani, mjumbe wa Mkutano Mkuu na diwani wao. Hata Humphrey Polepole, mmeshawahi kusikia wakitoa taarifa kulaani matukio hayo?" amehoji Heche.
Amesema tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma ambapo kulikuwa na ushindani wa kisiasa baina ya CCM na viongozi wa upinzani akiwemo Agustino Mrema, Freeman Mbowe, Profesa Ibrahim Lipumba na Dk. Wilbrod Slaa, kwa sasa mazingira hayo hayapo.
Heche ametoa kauli hiyo akimjibu Katibu wa NEC, Organaizeshen Paul Matiko Chacha, aliyedai kuwa Chadema ya sasa haina nguvu za upinzani kama ilivyokuwa kipindi cha viongozi waliotajwa.
Akijibu madai hayo, Heche amesema Chadema hakijioni tena kama chama cha upinzani bali ni chama kikuu cha siasa nchini.
"Sisi sio chama cha upinzani," alisema.
Pia alimjibu Chacha kuhusu madai kwamba alimdhalilisha Waziri wa zamani na mwanasiasa mkongwe, Stephen Wasira, akisema hakutoa matusi bali alieleza mtazamo wake kuhusu umri wa mwanasiasa huyo.
"Nilisema Wasira ni mzee wetu, amechoka, anasinzia kwenye vikao vya msingi. Sasa hapo nimemtukana nini? Kusema anasinzia? Mimi nimesema yule mzee sasa hivi ni muda wa kukaa na wajukuu," amenukuliwa akisema.
Aidha, Heche amemkosoa Chacha kwa kauli yake kwamba hakuna upinzani wa aina ya zamani, akisema wakati viongozi kama Mbowe, Mrema, Lipumba na Dk. Slaa walipokuwa wakifanya siasa, CCM ya wakati huo ilikuwa ikijibu hoja za wapinzani badala ya kutumia vitendo vya ukandamizaji.
TAFAKARI
Kinachoendelea dhidi ya Nchimbi si geni kwake na ndiyo maana anaonekana anajiamini!
Kuna watu waliokuwa katika nafasi nyeti ambao huwa hawaguswi hovyo ila kimama kilitumia nguvu na vitisho kuwatoa
-Job Ndugai - Spika
- DG TISS watatu - Diwani, Masoro na Siwa walibadilishwa ka nguo na Bi Kizimkazi
- Philip Mpango - Makamu Rais aliambiwa asichukue fomu kabla hata ya muda na akachomekwa huyu Nchimbi
- Kassim Majaliwa - alizuiwa kuchukua fomu kugombea
Sasa Nchimbi alikuwa pembeni anaangalia na kushiriki wenzake wakitolewa - zamu yake imefika ila jaribio hiki ipo muda na anajua hatua wanazotaka kuchukua
Sasa angalieni hawa watanganyika wote wanatolewa kiholela na kimama mzanzibari na familia yake alafu nyie wengine mnaangalia tu! Na nyie mtafikiwa kama Nchimbi
Acheni kutumika na pambaneni tuache kukubali nchi kuendeshwa kama kiosk ya aspiring air hostess
Nasema #TutaelewanaTu
"Kuna vituko Nchi hii, ooh Chadema haitaki mazungumzo. Mazungumzo ya aina yoyote yakiacha Chadema nje,mazungumzo yoyote bila Chadema, hakuna mazungumzo hapo. Tusidanganyane, unachukua Chama kinaitwa AAFP, Chama chenye watu wawili- ukiacha Chadema nje umeacha robo tatu ya wananchi wa Nchi hii na hatuendi kwenye mazungumzo kwa blackmail."- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema bara akizungumza na Viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime leo Jumatatu Agosti 03,2026.
Tangazo la muhimu.
Kama kuna mtu ali save post yoyote niliyoposti instagram ambayo ilikuwa ni ya kudai haki, mfano posti yoyote kuhusu Lissu, au kuhusu utekaji wa Mzee Kibao au posti kuhusu wanaharakati wa Kenya na kilichowapa Tz.
Yani posti yoyote ambayo ilikuwa ni ya kudai haki.
Naomba nitumie whatsapp +1 424 537 3057.
also mta some of you mtaposti hilo Tangazo instagram.
Please please ni muhimu. In a few weeks mtaelewa ni kwanini natafuta hizi post.
Nchi hii, iko kwenye matatizo makubwa mno.
Hawa wanaoitwa polisi ni ngumu kuelewa ni wakati gani wao wanakua polisi au ni wakati gani wanaweza kugeuka na kuwa watekaji.
Magari yanayotumiwa na polisi au vyombo vya dola wakati yana namba ambazo sio za kwenye magari hayo!!
Unawezaje kujua kama hayo magari ni ya majambazi au watekaji na ni wakati gani yanageuka kuwa ya polisi?
Nchi hii inazidi kuharibika na itahitaji nguvu kubwa mno kuirekebisha.
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilikaa Julai 29. Siku hiyo hiyo Jeshi la Polisi linatoa taarifa 'KURUHUSU' mikutano! Julai 30, mahakama ya Rufani inatoa 'ushindi' kwa Lissu dhidi ya DPP, huku mama Kizimkazi akikutana na wanasiasa Ikulu. Julai 31, kesi ya uhaini ya Lissu inapangiwa tarehe.
Bado unataka ushahidi gani kuona kuwa DPP, Jeshi & mahakama wote wanapokea maelekezo & kuwa kesi ya TAL ni ya KISIASA! Bado unataka ushahidi wa chama KUSHIKA HATAMU!
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Bara, John Heche, amesema baadhi ya wanachama waliopoteza nafasi katika uchaguzi wa ndani wa chama hawakutoa ushirikiano kwa uongozi mpya badala yake waliwasaliti na wengine kugeuka miradi ya watu.
Akizungumza leo kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA Mkoa wa Simiyu uliofanyika Bariadi Mjini, Heche amesema yeye pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya kushinda uongozi walitarajia kupata ushirikiano kutoka kwa wanachama wote bila kujali matokeo ya uchaguzi.
"Tukaenda kwenye uchaguzi wa ndani ya chama yaliyotokea wote mnayajua Tundu Lissu akasimama na mimi nikasimama tukashinda uchaguzi, tuliposhinda uchaguzi unategemea watu waliokuwa CHADEMA wanajifanya wana Chadema wameongoza sisi tukiwa tunawaunga mkono miaka yote hiyo waliposhindwa wakageuka kuwa project za watu," amesema.
Heche amesema msimamo wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu chama anachokiongoza hakiko tayari kufanya siasa za mzaha bali kinataka kusukuma mbele mabadiliko ya kweli.
"Wao kwao kuwa Chadema ni kuwa viongozi wakishinda wengine its me or the high way sasa nataka niwaambie wana Chadema, mwenyekiti wetu, Lissu alisema Chadema anayoiongoza ni ile ambayo haitaki mzaha inataka mabadiliko ya kweli," emesema.
Uhalali wa kikatiba (constitutional legitimacy) unaharibika pale wananchi wanapoona kuwa mchakato unaratibiwa na vyombo vile vile vinavyotuhumiwa kukiuka misingi ya utawala bora. Wasimamizi huru wanatoa imani kwa umma kuwa mageuzi yanayokusudiwa ni ya dhati. #KatibaMpya
Samia muuaji anajitoa ufahamu ili kuwahadaaa international community kuhusu hali ya siasa Tz.
Chadema waseme mara ngapi conditions za maridhiano kufanyika???
We muuaji unaeng’ang’ania kiti cha urais bila idhini ya wananchi mpaka ukawatoa roho maelfu ya wananchi unataka uambiwe mara ngapi conditions za maridhiano??????
Haya basi ngoja dada wa taifa nikusaidie tena maana naelewa uliishia form 4, tena kwa division 0 labda bado huja process in your dumb, evil, killer brain full of urojo.
Hizi ndio conditions umepewa na Watanzania kupitia chama chao (CHADEMA).
1. Uchunguzi na accountability ya mauaji ya October 29 ufanyike. Woote walioua na waliotoa order wananchi wauliwe wachukuliwe hatua.
2. Mtoe Lissu jela ili aongoze maridhiano ya chama chake.
3. International mediation team kutoka United Nations, Common Wealth, Sadc, EU. Preferably woote wanne wakae mtu kati.
4. Mkae chini mkubaliane juu ya katiba, complete overhaul ya sheria za uchaguzi.
5. Baada ya maridhiano Uchaguzi urudiwe mara moja maana hakuna uchaguzi ulifanyika October 29 2025, kilichofanyika ni mauaji tu. Uchaguzi kurudiwa ndio dawa pekeee ya kutuliza wananchi na kuleta amani ya roho kwa Watanzani. Hatuendi na hili kikao cha chama kinachojiita Bunge hadi 2030. Tena acheni story zenu za 2030, hatutaki kuzisikia mbwa nyie, lazma 2025 iwe rectified.
@SuluhuSamia Sasa nisikusikie tena unasema bado unapokea conditions za “mwenzenu mmoja”.
Wewe sasa hivi unatakiwa kutuambia Watanzania kitu kimoja tu, je wewe na Kikwete mmekubaliana na hizi conditions au bado mnakaza fuzu ili wananchi tujue tunafanya nini ila usituleteee akili za urojo sisi eti bado unasikiliza conditions zao.
Inabidi wakubali kuwa Tundu Lissu is the GOAT - Greatest Of All Time inapokuja kwenye ishu ya sheria na rule of law!
Mafomfofelia wasitusumbue 🚮
Mwachieni LISSU mara moja
#FreeTunduLissuNow#FreeTunduLissu