‼️IKITOKEA NIMETEKWA/KUPOTEZWA AU KUUWAWA, KINGAI NDO ATAKUWA MUHUSIKA NO. 1‼️
Nimepewa taarifa kwamba Mkurugenzi wa Upepelezi wa Makosa ya jinai nchini (DCI) Ramadhan Kingai ametuma Team ya maofisa wa Polisi wanitafute popote nilipo, wanifikishe kwake nikiwa hai au maiti,
Kingai anadai nimedharau na kukejeli wito wa Jeshi la Polisi ambao waliutoa siku kadhaa zilizopita.
Team hiyo aliyoituma inaongozwa na ofisa wa Polisi Kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma jina lake ni Edward Pius Soteli wengine ni
1. Detective Juma Sadick Bahat, huyu Katolewa ofisi ya RPC wa Mtwara,
2. Detective David Edward Mabula huyu katolewa ofisi ya RPC wa Ruvuma.
3. Detective Eliud Peter Kivuyo, huyu katolewa ofisi ya RPC wa Iringa
4. Detective Ally Jamal Mganzo huyu katolewa ofisi ya RPC wa Kigoma
5. Detective David Sailevo Lukumay, huyu Katolewa ofisi ya RPC wa Tabora.
Serikali haram iko na mambo ya hovyo sana yani pesa kwa ajili ya kufanya maendeleo hakuna lakin pesa za kulipa watu ili watutafute na kututeka zipo za kutosha.🚮
‼️ALERT‼️
Huyu ndo kiongozi wa Team ya maofisa wa Polisi ambao DCI Ramadhan Kingai amewapa kazi ya kuniwinda.
Jina lake anaitwa Edward Pius Soteli, majirani zake wanamfahamu kama Baba Sayuni, anatoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma.
Ni mzaliwa wa kijiji cha Mwimbi, Kata ya Mwimbi Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa.
Namba yake ya simu ni +2557876300x2.
"Pamoja na zuio haramu dhidi ya Chadema kuondolewa bado ofisi ya Msajili inatafuta njia za kufanya shughuli za Chadema zisimamishwe. Baada ya kikao cha Kamati Kuu tulichokaa tarehe 28 na 29 Aprili 2026 na matamko ya Kamati Kuu tuliyotoa tarehe 2 na 5 Mei 2026 kwa umma juu ya masuala mbalimbali, tumeandikiwa barua na Ofisi ya Msajili ya kutakiwa kujieleza." Mhe. @jjmnyika
Siku huyu mzee akifa inabidi msiba ufanyike mwezi mzima.
Sidhani kama Tanzania ina Mzalendo zaidi ya huyu Mzee…. Mzee anaji risk maisha yake ili tu kuisaidia nchi, hana chochote anachopata zaidi ya kupoteza.
Nikiangalia anachofanya huyu mzee nazidi kufarijika kuwa I did the right thing kuacha biashara yangu iliyokuwa inanipa pesa nyingi ili kuwapigania watu ambao wamenipa platform.
Imagine kama Tanzania ingekuwa na wazee kama hawa hata 5 tu. Ila ndo hivyo Warioba yupo peke yake, wengine wote either dead or comprised.
Kwa kweli Bongo Zozo Sisi Watanzania hatuna cha kukulipa ila tunaona juhudi zako za kusimama katika ukweli na haki, Mungu azidi kukutunza na kukufungulia milango ya mafanikio.🫡
Siku nikikarabati kijiwe changu hapo nyuma.Ndio ntajiita mamalishe 😅😅
Lkn kwa sasa niacheni niwe mamantilie
Wadogo zangu karibuni kuniunga fanyeni km mnafanya reseach ya watu wenye kipato cha papatu papatu tunakulaje 😅🤌eeh Matajiri..pitieni mchukue experience😅🏃♀️
Ndio naamka hapa kumbe yule mstaafu alisema video zile za Oktoba 29 ni za "GAZA" 😅
kwamba GAZA polisi nawapigilia code kama za Bongo?
Kwamba GAZA watu ni weusi kama sisi?
Kwamba miundombinu na mazingira ya GAZA ni kama BONGO vild vile.
Ndiomaana kila siku wanataka waje kutufafanulia RIPOTI yao, na kila siku wakionekana wanaongeza Maswali ya Ripoti yao.
Hayo kamuambieni ZUMBUKUKU aliewapa kazi sio sisi. Sisi tumeambiwa hiyo ripoti haituhusu punguzeni NYEGE wakina kyande.
Sauzi kwa Madiba 2018
Iliwahi kuundwa tume #ZondoCommission
Ili kuchunguza
#Rushwa, #Ufisadi & #StateCapture
Ile tume ilitumia Pesa Randi Bilioni 1, Sawa na US $ 66Million,
Sawa na Tsh. Billion 158.
Wasauzi walipiga sana kelele kuhusu hili!!
Awali tume iliahidi kumaliza kazi ndani ya siku 180 tu.
Aaah wapi….
Siku 180 zikatimia bila majibu!!
Baadaye Tume ikawa inaomba kuongezewa pesa na muda ili iendelee na uchunguzi.
Mwaka 2019 waliongezewa ikafika Tsh. Billion 56.
Mwaka 2020, wakaomba waongezewe tena muda na pesa ikafika Tsh. Billion 110.
2021 wakaomba tena mzigo ukafika Tsh. Billion 125.
Tume ikamaliza kazi June 2022 ikiwa imetafuna Tsh. Billion 158.
Unaweza ukasema ni pesa nyingi sababu ilifanya kazi muda mrefu 4years, But NO. Ndani ya siku zile 180 tu za kwanza walikuwa wameshatumia Approximately
Tsh. Billion 20-40.
Kwetu matumizi na budget ya tume na vyombo vyao vya uchunguzi huwa hayawekwi wazi!🤔
But you can imagine kama kwa Madiba tume ilitumia fedha hizo na ni uchunguzi wa ufisadi & Rushwa tu na wala sio case solid kama mauaji!!
VIPI SISI TUME YA SIKU 153
NA KAMA UJUAVYO KWETU NDIO SHAMBA LA GRAND MA’ 😌🥹
Trump nominee takes hard line on Tanzania as Congress tees up penalties
US ambassador to Tanzania nominee William Trachman vows electoral violence ‘won’t be swept under the rug https://t.co/IRQZYS5JLs
Tunaanza UPYAAAAAAAAAAAAA