MAABARA INAYOELEA KUONA SIKU 16 NDANI YA SIKU MOJA:
ISS yaani International Space Station au Kituo cha anga cha kimataifa.
Hiki ndio chombo kikubwa cha Anga kilichotengenezwa na binadamu kilichopo katika obiti ya chini ya Dunia
.
.
@omari_manyama@lifeofmshaba Hapa nalaumu viongozi wa kweli wa kiislam..
Dr Sule kaenda kumshukia IPM anamwangalia hy mropokaji asiojielewa.. mimi ninachukizwa n dini yangu kuingiliwa n watu wa hovyo wakaihusisha n siasa.. watu hawa walifakiwa wakanywe n wakatazwe wasiojua uislam watadhan dini ndio imeamua
@eastafricatv@SuluhuSamia Hapo umemtaja mufti ili kuonesha umuhim wa hy sheikh? Unajua nyie waandish wa wakuza mambo mnauchukuliaga uislam km kitu cheap hv..??
@MwanaHabariNews@kitwana6 Usitumie neno waislam.. tumia neno Mwaipopo.. waislam n zaidi y mwaipopo ukiskia cku mufti ameongea ndio useme Waislam..
usidhalilishe waislam kwa kuwagusanisha n wahuni hao..