DONT tell your dreams to everyone around you
Some people smile but wanna see you down
Keep it quiet DONT make a sound
Let your success be what shakes the ground
Bro ukitaka kuoa, you need to be very selective muangalie huyo mwanamke kwa angle zote,, jua mapungufu yake ambyo unaweza kuyavumilia coz, hakuna mtu mkamilifu, ukiangalia shape na mwonekano pekee havitoshi @donoghue
Kuna mda katika maisha tunaachwa na watu tunaowapenda sana pengine ni kwa sababu ya hustle zetu zinachangia... ila hawajui thaman ya upendo wetu kwao.. ๐ช kuwasahau ni vigumu sana.. Be humble..