"Hata katika huo unaodhani ni ujinga wao, ipo hekima nyuma yake. Lisilo la maana kwako laweza kuwa na maana kwao. Tafuta kuielewa hiyo hekima yao na mengine yote utafunuliwa." ~Togolani Mavura.
Nenda YouTube, Subscribe , Like, Share. Nyimbo hizi hazipigwi ktk Radio/Tv.They need our support.
Weka pesa yoyote ktk simu yake ya mkononi.Let them feel kwamba hawako peke yao.Jina ni Emmanuel Elibarick Munis +255 759 787 828.
Salute you Ney.
@darmpya_ Ilianza wakati awamu y tano! Du Rais anamiliki hela zetu hata kama sisi ndo tunamlipa! Siku nyingine basi na sisi wananchi tusifiwe basi kwa kuwalipa mishahara na malupulupu viongozi na wafanyakazi wote!