@rollymsouth@Cowwbama Best chutama tu. Unaweza ukaleta utani huo huo utani wako ukawasaidia wapinzani wako. Mpaka sasa raia ni wa moto sana. Msikilize Mama Tery alicho kisema kwenye ile kamati ya maridhiano
@privaldinho Jana mlisahau kupigia debe mijezi yenu mibovu mkawa busy na jezi feki za Mnyama. Mmeona sasa mtandaoni kuko busy na Mnyama tu na siyo utopolo na mijezi yenu mibovu.
@IAMartin_ Piga utosini @IAMartin_ hawa bado wanapumua. Kupima samaki kwa rula ndo kitu bora kwao. Dalali atarudi soon kuwapanga walinde kura na Muliro kasema hilo haliwezekani ๐
@Sativa255@VitusNkuna@Thereal_taivina Champions of Europe Italy were not at the World Cup in Qatar. So what was your point again? Nimeiba sehem kajibiwa hapo ๐๐๐๐๐
@YoungAfricansSC Uto akili zao za kindezi sana. Ogopa sana Mungu na Technology hivi Hersi Said hawezi kujisikiliza Juzi kasemaje na leo Club imesemaje?!!!!!!
@privaldinho ile ya Hersi aliyo sema 100 zimetolewa na Yanga au? ๐๐๐๐๐ mnafanya watu wapumbavu? Viongozi wenu walitakiwa wakiri wametoa hiyo mia na waombe msamaha siyo hii kupindisha pindisha GSM foundation sijui nini khaaaa