May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.
Danny, hata kama nikitaka nielezee watu jinsi ulivyokua mtu mwema na mwenye moyo wa huruma na hofu ya Mungu watasema nakusifia sababu wewe ni wangu, ila sifa yako inajitangaza bila mimi kutumia nguvu baba Lakini bado naamini kuwa Mungu huwapa majaribu magumu mashujaa wake wa kweli. Wewe ni shujaa wangu, wewe ni imara na najua kwa hakika utashinda jaribu hili. Tuko pamoja nawe kwa sala, kwa imani, na kwa upendo. Mungu yupo, na siku ya haki itafika.
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO
I have published an article on Frontiers Sustainable Food Systems Journal with other notable African Scientists titled: The Role of Young Scientists in Promoting Genome Editing for Sustainable Agriculture and Food Systems in Africa. https://t.co/1usFvL3TlE
Utamaduni wa (kutoa na kuomba) ushauri umejengeka kwenye misingi ya hekima ya wazee walioona mengi, uzoefu wa mtu mzima unaompa uhalali wa kutoa mwongozo wa kufuata kwa anayemzidi.
Hata tunaposikia unasihi (counselling), aghalabu, tunafikiri ni taaluma ya kushauri watu na kuwaambia cha kufanya ili kutatua matatizo yanayowakabili. Wapo wanaotafsiri โcounsellingโ kama ushauri.
Kwenye uzi huu kwenye twiti 10, ninajenga hoja kuwa kutoa ushauri ni jambo la hatari na kwamba linaweza kusababisha madhara makubwa kwa anayeshauriwa lakini pia hata anayeshauri.
Pia, nalenga kuonesha, japo kwa ufupi kuwa hata kwenye unasihi msingi wa kwanza wa kuzingatia kwa mtoa huduma ni kuepuka kabisa kutoa ushauri kwa mtu. Nakusudia kuonesha nini hasa huwa ni malengo ya unasihi.
- U Z I -
On the second week of celebrating women, The Citizen Rising Woman 2025 sat down with a formidable team of women shaping Tanzaniaโs healthcare sector and saving lives. From surgeons and pediatricians to hematologists and academicians.
Their inspiring stories will be published on Monday, February 17, 2025, in The Citizen newspaper, on our website, and on Mwanaclick.
Join us on March 7, 2025, at Mlimani City Conference Center at 5:00 PM as we honor women and their extraordinary impact.
#RWI2025
#AccelerateHerImpact
#EmpoweringTheNation
Valentineโs Day is around the corner.
Here is a list of recommended places to visit with your partner to enjoy together.
Thread ๐งต
1. Nakupenda Sandbank
My Thesis is officially published by Neapolis University Pafos Library. The Thesis is titled: "The U.S. strategy against terrorism in the twenty-first century: results and consequences in the context of Afghanistan and Iraq."
https://t.co/bFVUvsvNn9
Ukianzisha biashara kwasababu ya hela tuu, ukifeli unapata msongo wa mawazo wa kupitiliza. Ukianzisha biashara sababu ni kitu unapenda sana kutoka moyoni, ni kitu ambacho unaweza hata fanya bure ila tuu chakula muhimu usife. Ukianzisha biashara ya hivyo, hata ukipata changamoto haikusumbui sana maana ni eneo lako ya furaha. Unaimudu changamoto bila magonjwa ya moyo.
๐๐ Driving Sustainable Energy Innovation! ๐๐
Dr. Jackson Justo from the University of Dar es Salaam ๐น๐ฟ is pushing boundaries in renewable energy, blending AI with power systems to create a greener future!
https://t.co/FG0ubcTOEq