@JonMrema "Twaweza kumpuuza Humphrey Polepole. Je tutapuuza madhara ya kumpuuza? Chagua kwa busara kati ya kupuuza huku usiweze kupuuza madhara ya upuuzi wako.
Kama anasema uwongo anamdanganya nani? Mungu? Wananchi? Yeye mwenyewe?"
“Nimepigania Haki na Demokrasia kwa sehemu kubwa ya maisha yangu ili kuwe na nchi ya Demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi KUFA nipo tayari KUFA…”-; Mhe. Tundu Lissu
September 28, 2026
REPOST 200