Dadekiiii, Nchi imevimba…….
Watanzania kila mmoja wetu akijitoa kutetea na kudai haki kama hivi basi TUTASHINDA HII VITA DHIDI YA WAUWAJI WANAOSHIKILIA NCHI KWA KUTUMIA JESHI LA POLISI…….
Kama uko Tz na huwezi kujitoa kwa jina lako basi anzisha page anonymous ya kudai haki kwenye mitandao ya Instagram, tiktok na Facebook. Kama uko nje ya Tanzania tafadhali tumia jina lako na sura yako mwenyewe, account zenye mtu anaonyesha sura yake ndio zinashawishi wananchi kiurahisi zaidi kuliko account zisizo na mtu anaejulikana.
Nawaomba haswa diaspora wote tuwe wanaharakati tunaoweka sura zetu kwenye page. Hii ndio njia effective tunaweza kuwasaidia wenzetu nyumbani wapate uhuru wao kutoka kwa WAKOLONI WEUSI!!!! WAKOLONI WEUSI NI WAKATILI KWA WATANZANIA KULIKO WAKOLONI WEUPE WALIVYOKUWA WAKATILI KWA KINA NYERERE….
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya…….
Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
Niko hapa nna wenge la ajabu. Sijielewi yani. Alafu nakutana na hii posti, nabaki nalia kwa uchungu mkubwa.
I can’t believe Lissu ana nguvu hii
Huyu Lissu sio binadamu kama sisi, kuna kitu Mungu kaweka ndani ya Lissu.
🏆MUNGU WETU NI MKUU MNO ANAETUSHINDIA KILA WAKATI IKIWA ZIMEBAKI SIKU 3 TU KUMFANYIA BWANA IBADA
🏆Watumishi wa Mungu Wamebeba Ujumbe Wa Kristo na wako Tayari Kukuhudumia USIPANGE KUKOSA
📍Sinza lego (Emmanuel Hossana Church)
#theheaventhronealtarseason2
Shalom shalom mtu wa Mungu napenda kukukalibisha kubalikiwa na wimbo huu utakao kuwa hewani juma pili hii ya tar 18 karibu tulitukuze jina la kristo yeye alie salama yetu unaweza ku subscribe youtube chanel mapema #minister chriss Harris ubarikiwe sana