Zile story za mtu kushika pesa nyingi halafu akafilisika huwa zinanishangaza sana.
Inakuaje mtu ulikuwa una malori,Nyumba, na biashara hlf unafilisika na kuwa maskini kama hujawai kuwa na pesa.
Mimi nikija kushika hata 10M tu sidhani kama nitakuja kuteseka tena ktk haya maisha.
Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
π§΅π§΅
Ile Tweet Ya Madenge Imetumiwa Na Waziri Mkuu, Rais, Jaji Chande Na Kila Mtu Anayetaka Kuhalalisha Mauaji Ya Oct 29
Lakini Madenge Mwenyewe Hajawai Kuhojiwa Popote Na Yuko Nchini
Hapa Kuna Mawili
1. Serikali Ilimtuma Ndio Maana Hawajamhoji
2. Serikali Inamuogopa
Jibu Unalo
Kuna ofisi moja nilikuwepo nalipwa around 1.5-2M alafu anayenisimamia nifanye kaziπ analipwa 8M nikamuambia boss kazi ninazofanya ungeajiri watu 5 ila nafanya mwenyewe
Ongeza hadi 3.5M anasema hana hela nikaresign
Nilikuwa replaced na watu 3 ila ilichukua mdaa sana