Ila nyie bana mna mambo ya kiwaki !
Kumbe mlipanga kumfutia Lissu uhaini alafu nje kumkamata kwa kosa lingine na kumweka house arrest! 😁
Kila uovu mnaopanga Mungu 🙏🏽anatufunulia!
Nasema #TutaelewanaTu
Wakati Magufuli anafariki aliacha bajeti ya safari (za nje na za ndani) ni Bilioni 282 tu. Mwaka uliofuata ikapanda hadi Bilioni 360. Mwaka uliopita ikafika Bilioni 844. Mwaka huu serikali imetenga Trilioni 1 (yani Bilioni elfu moja) kwa ajili ya safari za nje na za ndani.
Itoshe tu kusema kwamba Nduli Idd Amin Mama anachezea kodi zetu mpaka sio poa.
Wananchi tusilale - mahakamani, Ukonga na Tegeta - tuwe stand by muda wote!
Hawa majaji wengine wanaweza kubali kutoa hukumu usiku wa manane 🙄
Ila huko house arrest tutaenda kumchomoa kirahisi zaidi
Watanzania, kuna takataka inatembea juu ya Mswaada wa kumshughurikia samia suluhu hassan na genge lake. Takataka hiyo inasema kuna vipengele vimeondolewa. Puuzeni. Mswaada unaanza kupigiwa kura wiki ijayo.
Nimesikia Kombo na Yuda wanakuja DC, watatukuta rada.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
Kwa namna ambavyo Serikali dhalimu na katili ya MaCCM na watawala wake wanavyomtesa Tundu A.M Lissu gerezani, leo zikiwa zimetimia siku 428 tangu kuwekwa kizuizini, siku ambayo Mungu ataamua kugeuza kibao na Tundu A.M Lissu akawa Mkuu wa Nchi, kisha akaamua kuwawajibisha wahuni wote kwa makosa yao kwa mujibu wa sheria, asitokee mtu yeyote, mtumishi wa Mungu au jumuiya za kimataifa kulalamika. Kila tendo lina matokeo yake, na kila anayepanda atavuna alichopanda. 🙏🏾
Tokea jana usiku na leo siku nzima mlikuwa mnaniambia polisi wametapakaa kila kona maeneo ya Ukonga, Posta, Mwenge huko kwenda mbele
Mkauliza mbona ni kama Lissu ataletwa mahakamani - nikaingia kazini kufukunyua hadi nikapata taarifa zao waovu!
Kumbe walipanga upumbavu wa house arrest - mi nilipowalipua wameghairi hadi press ya lienzi lao ghafla limeahirishwa 🤣
Eniwei nyie mwachieni Lissu
#FreeTunduLissu
Tumekataza kujieleza sana
Ulichofanya ni “dog whistle”
Mbwa unamfundisha miluzi tofauti - mf mluzi fulani ni kushambulia! Ila hii haijulikani kwa watu wa nje!
Ndo ulichofanya Saada Mkuya! Usituone wajinga! Mnapotumia neno “wazawa” tunaelewa au wasiolipia bima zetu etc
Sasa tulia - sisi si wajinga
Twende hivi hadi #TutaelewanaTu
Mlitaka mahakama iende Ukonga? 🙄 Abdul bana! Unafikiri mahakama ni kama kiosk cha nyumbani?
Eniwei ngoja tuone mnaamuaje!
Ila sisi tunasema #FreeTunduLissu
Kesi ya Mwenyekiti Tundu Lissu Sasa itakuwa tarehe 3 Julai 2026 na si kesho tarehe 11 Juni 2026.
Tundu Lissu's revision case at the Court of Appeal of Tanzania has been rescheduled to the 3rd of July 2026 instead of June 11 2026.
Kwanini kesi ya Mwenyekiti wetu isogezwe mbele kwa mda mrefu kiasi hiki mara tu baada ya chama kueleza mpango mbovu wa polisi hapo kesho.
Chama kimeeleza nia ovu ya polisi dhidi ya chama chetu alafu kesi inasogezwa mbele!!!
Mahakama ya Tanzania inaondoa imani ya wananchi na kuchochea chuki kwa matendo kama haya.
Detention without trial?
Tundu A.M Lissu alikamatwa Mbinga, Ruvuma Aprili 9, 2025. Zimepita siku 427 (mwaka mmoja na siku 62) tangu kukamatwa hadi leo Juni 10, 2026.
Zimepita siku 96 tangu kesi hiyo iahirishwe katika Mahakama Kuu (baada ya kusikilizwa mfululizo kwa siku 20 za kazi tangu Februari 9, 2026).
Kesi ilipangwa kuendelea kusikilizwa Mahakama ya Rufani kuanzia June 11, 2026 kufuatia upande wa Jamhuri kukatia rufaa uamuzi wa Mahakama Kuu
Lakini kesi hiyo imehairishwa tena bila kufika siku ya kesi na pasipo kutolewa sababu za msingi za kuhairishwa kwa kesi hiyo hadi Julai 6, 2026
Tangu kesi ilipoahirishwa (Machi 6, 2026) hadi itakapofika (Julai 6, 2026) kesi hiyo itakuwa imetimiza jumla ya siku 122 (miezi 4 kamili).
Tangu leo (Juni 10, 2026) hadi tarehe hiyo ya Julai 6, 2026 ambayo ndiyo itakuwa siku ya kurejea tena mahakamani, zitakuwa zimesalia siku 26.
Kwa lugha rahisi na inayoeleweka, Tundu A.M Lissu amewekwa kizuizini. Kwanini hafikishwi Mahakamani kuendelea na shauri lake tangu Machi 6, 2026?
Mahakama kwa kutumia haki zake imeamua kuchelewesha upatikanaji wa haki zake za msingi kupitia mchakato unaoonekana kukosa haki.
Tuliwaeleza mwanzo, mmemkamata Tundu A.M Lissu na kumshtaki kwa tuhuma za uongo za uhaini ambazo hamtaweza kuzithibitisha mahakamani.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, ambalo lilipangwa kuendelea kesho, tarehe 11 Juni 2026, limeahirishwa.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania, shauri hilo limepangwa kusikilizwa tarehe 3 Julai 2026 na kwa ajili ya Judgments, Rulings & Orders siku ya Jumatatu, tarehe 6 Julai 2026, saa 3:00 asubuhi.
Tumefanya jitihada nyingi kuwasiliana na @tanpol mkoa wa Mwanza ili waleze ni sababu za kumkamata @AdvocateSailenc na ni kituo gani wamempeleka lakini hadi Sasa hakuna anayetoa majibu. Polisi waliomkamata walikuwa na gari namba T 113 DVU toyota hilux.
Nimepokea taarifa ya kukamatwa kwa SAILENCE MWAKASALA Mwenyekiti wa CHADEMA Student Organization mkoa wa Mwanza mchana huu, Polisi 5 mmoja tu ndiye aliyevalia sare wakiwa na mitutu ya bunduki wamevamia nyumbani kwake na kumchukua kwa nguvu. Tunaendelea kufuatilia kila hatua.
REPOST 200
#FreeMwakasala