"Kila mtu ana kalenda na saa yake. Kinachokusumbua ni kufuata kalenda na saa za wenzako. Fuata kalenda na saa yako na maisha yako yatakufuata kwa mwendo na hatua zako." ~Togolani Mavura.
Beware of emails or text messages which require you to take an action by clicking on a link. Avoid clicking on suspicious links because they enable fraudsters to steal passwords or gain access to your personal banking information
#ProtectYourMoney#KaaChonjo#StaySafe
SALA YA KUWAOMBEA WENYE SHIDA.
Asante Mungu Baba kwa sisi kuiona tena siku mpya. Umetuongoza katika usingizi hadi tumeamka kama tungali wazima. Baba wasaidie wale walio na shida mbalimbali kama ya ugonjwa, vita, Mafuriko, Vimbunga, Vilkano, biashara kuanguka,
"Kuna rafiki anayekupendea ukweli wako na kuna anayekupendea uongo wako. Yuko anayekuhitaji kwa kumkosoa na yuko anayekuhitaji kwa matumaini. Tambua nafasi yako katika maisha ya watu ili usiwakwaze." ~Togolani Mavura.
"Hekima hutegemea sana wingi na ufundi wa dhana na maneno.Wingi na ufundi wa maneno hutegemea upana wa kamusi yako.Upana wa kamusi yako hutegemea idadi ya vitabu ulivyosoma,idadi ya watu uliokutana na kuzungumza nao na wingi wa maeneo uliyotembelea katika maisha. Hekima si UMRI."
I'm 36. This is my honest advice for people in their 20s:
1. Make decisions your future self will thank you for, not resent you for.
2. Somebody you know and love is going to die within the next 10 years. It could even be you. So live accordingly.
"Katika safari ya maisha unaoanza nao ni muhimu sana kama utakaokutana nao katikati na utakaomaliza nao uzeeni. Si wote unaoanza nao utamaliza nao na utakaomaliza si lazima ndio ulioanza nao. Safari ya maisha yako ni yako, wengine kila mtu na apande na kushukia kituo chake."
FAHAMU RANGI ZA KASULA NA MAANA YAKE KATIKA KANISA.
Kasula ni vazi analovaa kuhani (Padri/ Askofu) kwa Kiingereza tunaita Chasuble hutofautiana kwa rangi kadri ya majira ya Kanisa.
1.Kasula yenye rangi ya Kijani huonyesha matumaini huvaliwa katika kipindi cha kawaida cha Kanisa
🇷🇺🤝🇹🇿 #OTD in 1961, diplomatic relations were established between the USSR and Tanzania.
Today #RussiaTanzania cooperation continues to expand for the benefit of the peoples of our two nations.
🎉 Congratulations to the friendly Tanzanian people on our common holiday!
Kwa namna ya kipekee nawashukuru Korea Importers Association (KOIMA) kwa kutambua jitihada za Ubalozini wetu katika kufungua fursa za biashara na masoko kati ya Korea na Tanzania. Utambuzi huu ni chachu ya kuongeza jitihada zaidi tufungue masoko ya bidhaa zetu katika mwaka 2023.