Sala kwa Mama Bikira Maria.
Salamu, Maria, umejaa Neema Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na sasa ya kufa kwetu, Amina.
Utuombee kwa mwanao Yesu Kristo.
#HABARI Madereva wa magari ya masafa marefu wameeleza kutoridhishwa na utaratibu unaowalazimu kurejea darasani kila wanapohitaji kuhuisha leseni zao za udereva, wakidai kuwa mafunzo hayo yanajirudia na yanapoteza muda ambao ungeweza kutumika katika shughuli zao za usafirishaji.
Wamesema utaratibu huo unaathiri uzalishaji wao pamoja na shughuli za waajiri, hivyo wamezitaka mamlaka husika kutafuta njia mbadala zitakazorahisisha mchakato wa uhuishaji wa leseni bila kuathiri utendaji wa madereva.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
π¨ Michael Carrick on Manchester united midfield next season:
π£οΈ"Andrey Santos confirmed, Youri Tielemans loading.. I'm setting up a formidable team that Wil be ready for the UCL, EPL,FA Cup , & FIFA club world club"
"It's my dream to see us dominating like the previous years, when SAF was at the helm..We are going to sign two or more before the transfer window ends"
"I like our new new signings, epl proven & ready to fight for the badge..Be expecting more soon".
"No time to waste on players that are way too expensive & causing unnecessary headlines headache that distract during the season".
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema baadhi ya Viongozi wanapokuwa Serikalini hujikuta wakijisahau na kufikia hatua ya kujiona kuwa wao ndio kila kitu.
Sirro ametoa kauli hiyo leo Juni 26, 2026 wakati wa kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (SACP), Richard Abwao aliyefariki dunia Juni 20, 2026.
βKwetu ni faraja sana kwamba mlituletea kijana mchapakazi ambaye siku zake zimefika, lakini amekwenda kwa heshima kubwa.β
βNiwashukuru sana Viongozi wetu wa dini, sisi wakati mwingine tunajisahau tukiwa Serikalini, tunaona sisi ndio kila kitu hata wenzangu ni mashahidi, nilikuwa navaa magwanda kama Wambura.βAmesema Sirro.
#MillardAyoUPDATES
Ee Baba yetu Mungu Mkuu,
Umenilinda usiku huu.
Nakushukuru kwa moyo,
Ee Baba Mwana na Roho.
Nilinde tena siku hii,
Niache dhambi nikutii.
Naomba sana Baba wee,
Baraka zako nipokee.
Bikira safi, Ee Maria
Nisipotee nisimamie.
Mlinzi Mkuu Malaika wee,
Kwa Mungu wetu niombee,Amina.
Ameteleza kidogo tu; ni Henry wa VIII sio wa VI. Hendry VIII hakuwa Askofu wa kanisa katoliki, aliingia ktk mgogoro wa ndoa na kanisa akitaka kuoa mke wa pili ili amzalie mtoto wa kiume.
Wakati huo Mtakatifu Thomas Moore alikuwa Waziri Mkuu na Martin Fisher alikuwa Kardinali.