@fbuyobe "najua nguvu yako ndio maana nimekuomba"
Au itakua hujamsaidia kipindi hicho alivyokuomba? Inakuje anamchukia mtu ambaye alikuwa sehemu ya kupona kwake?
@HildaNewton21@ExMayorUbungo@godbless_lema Katika vitu mnatukosea ni kuwakaribisha hawa wasenge tena ambao walikuwa wanatuchafua, Chadema hiki Chama hakitakuja kuwa na maajabu yoyote tunaenda mbele hatua 1 tunarudi nyuma hatua 5.