@EsirEid Watu wasichokijua Zimbabwe ina intelligence hatari kwenye umafia uliopitiliza mchezo ushawanogea kwao sasa wanazisaka nchi za africa huyu chivayo nilisema toka mwanzo ni mtu wao ila kuna tatizo linawafuata kimya kimya uchunguzi wa siri unawafuata.
@ErickKamihanda Uko sahihi kabisa man hiyo simiyu,shinyanga,Mara zina kila kitu na mapato yao ni makubwa sana ila hawastahili kuishi wanavyoishi lissu alilisema hili muda sana hii nchi raisi kuwa na serikali kuu inabidi zipunguziwe mamlaka kwa faida ya watanganyika.
@maestrowafact Watu hawataki kusikia ukweli ila yule manzii kaibuka alipotoka na hela za watu vijana wanaamini kajenga kupitia biashara kitu amnacho sio kweli FIU sijui iko wapi?
@BillyTronix1 Kama kuna mtu anaamini hiyu demu anapata pesa kwa umalaya anajidanganya huyu ni vile vitengo vimelala au vinapotezea ila anatakiwa kuwekwa kati huyu mtandao wa kina billnenga unatakiwa uwekwe kati kinondoni na sinza vijana wanaumia sana na powder.
@bright_ludwig Huwa zina dumu ukiwa vizuri man ukianza kuyumba tu dunia utaiona ni kuzimu kabla hujafika kuzimu kwenyewe nikikumbuka mjomba angu kachanganyikiwa hadi leo hii hao watu ni hatari sana kwa wanaume hawana huruma utapokuwa broke.
@Sisimizi3 Nje ya maada kidogo hivi kuna mtu ana majibu kwa nini hii nchi kila inapopata Uongozi mpya lazima litokee tatizo na watu wafe kwa wingi, MV victoria,Zanzibar Election,MV spice,Mv ukerewe, Tanganyika Election, Nawaza kama mjinga.
@RickyJaduong86 So chivayo naona kama wameona camera zitachimbua mizizi na ipo siku ataingia mikononi mwa viranja wa Dunia hapa kuna mawili ka fake kifo au kweli kapotezwa kulinda mizizi
@EsirEid Chivayo, wakubwa wa dunia walimuweka kwenye rada ilikuwa ni muda tu wangefikia mzizi sasa isije kuwa mzizi umekata tawi ili uendelee kustawi, but Zimbabwe kuna shida kubwa sana
@mangekimambi@HecheJohn Inashangaza eti mbogamboga wanamtetea lema wakati hata makamu mwanachama wao hawajui halipo hii ni smoking gun sema vijana wa sasa hawakwepeshi unavyokuja wanakupokea na kukuweka sawa lema kakosea yy nani kamwambia ajiongeze?
@lifeofmshaba Hili jambo sio kwa bahati mbaya hawa watu wamefanyiwa hivyo makusudi kuwadharirisha kuna namna TISS wamefanya kuwavunja nguvu ya heshima hawa watanganyika yajayo ni mengi sana