🚨 Mateus Fernandes talks continue as Man United have been in direct contact with his camp and West Ham for weeks.
Tottenham also called player’s agent to try enter the deal, separate story from Tonali — for the Italian #THFC remain confident.
🎥➕ https://t.co/FHEJIeQaqa
Dear GOD, Please let his hard work and dedication be blessed. Let his ultimate story finish with a beautiful and proper ending, and let him have whatever he desires on the pitch
@Cristiano
@LifeofSteph_1 Ubora wa hao viungo wangekuwa wanapokelea mipira eneo hilo ingekuwa rahisi sana ila kwa sababu ya beki alizoanza nazo,kuutoa mpira nyuma ikawa ngumu kinamna flani
@LifeofSteph_1 Nikwambie kitu kaka ingekuwa rahisi sana kama kocha angeanza na Ruben diaz na Inacio ambao ni wana passing game nzuri kwenda mbele, alafu kwenye hilo duara ulilochora hapo kati bruno,Vitinha na Neves wangekuwa wanapokelea mipira hapo, ila kutokana na beki alizoweka haikuwezekana
@lai_babu@emabilly2001 Portugal overall jana hawakuwa na performance nzuri na hii imeanzia kwenye selection za wachezaji alioanza nao Kocha ndo imepelekea ugumu,ingetokea wametengeneza chances nyingi wamekosa magoli, hata france pia kwenye mechi yao yalitokea haya wakakosa hata on target first half
@lai_babu@emabilly2001 Kwa alichoandika mwenzako alimaanisha uki draw na Congo basi hau deserve kuchukua kombe na ndo kitu nilicho m question,ndo mana nikarud kuhusu kumuulizia matokeo ya bingwa 2022,alitumia matokeo ku jugde kila kitu ndo alichokosea
@lai_babu@emabilly2001 Sasa performance yako unasifia mbona hukusifia streghth ya mpinzani mpaka akapata matokeo dhidi yako kama ulikuwa na performance mbona hukushinda kama kila mtu mwenye performance nzuri ana takiwa ashinde mpira si ungekuwa rahisi tu
@lai_babu@emabilly2001 Sikuangalia em niambie nini kilitokea wewe uliyekuwa husugui mikono?
Kuna muda inabidi ukubali na strenghth ya mpinzani wako ndo mana akapata matokeo mtu anaweza akawa outperformed na bado akashinda vizuri tu and that is football,
@George_Ambangil Nyuma ya kiungo cha congo naona ingekuwa simple kurahisisha central progression ila kukosa hiko imefanya team itegemee wide areas tu muda wote na congo walikuwa na solution nzuri kwenye hiyo approach
@George_Ambangil My big blame ni kwa kocha kuanza na wale mabeki wa kati ambao upande wangu naona sio wazuri kwenye kupiga foward passes na imekuwa ngumu kushambulia kupitia kati na kufanya kazi iwe kubwa at least ruben dias na Inacio wangekuwepo ingerahisisha ma middle wa portugal kupokea mpira
🚨 EXCL: Crysencio Summerville high among candidates Manchester United considering as possible left wing signing. 24yo West Ham attacker subject to enquiries from #MUFC & expected to cost ~£50m to land #Netherlands international from #WHUFC@TheAthleticFC https://t.co/I9A74Ko3TI
@George_Ambangil@thealpha24_ 👍ila mi upande wangu summerville naona ni u machachari mwingi ila sidhan kama atakuwa na ile effect tunayoitaka tunapokuja kwenye upande wa matokeo