#CINEBOX Chanzo chako cha taarifa za Waigizaji, Filamu na Maudhui ya TV zote za Tanzania. ๐ฅ
Hapa kutoa taarifa zote kuhusu Sekta ya Filamu #UlizaCineBox ๐
@_Maxmilianjohn Utengenezaji wa filamu ni process inayohusisha hatua kadhaa, na hizi hatua za production usually zinafanyika katika mazingira controlled kupunguza gharama na pia usalama wa waigizaji!
Uzuri zinaitwa Filamu, ni kitu cha kufikirika kinachoweza kukupa taswila ambayo sisi hatuiishi!
Mzee Kassim - Tuzo ya Heshima (Wanaume)
Madebe Lidai @madebelidai
Mgeni Rasmi kwenye hili tukio alikuwa Mh. Nape Nnauye @napennauye , Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojka pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa @gersonmsigwa .
Tuzo Nyingine zilienda kwa
Ben Royal @benroyal_pictures - Tuzo ya Best Director
Gwiji wa Taarabu - Best Documentary
Dhohari @dhohar_series - Tuzo ya Best Series
Romy Jones @romyjons - Tuzo ya Best Actor (Audience Choice)
Tecla Mjata - Tuzo ya Heshima (Wanawake)
Zanzibar International Film Festival inapenda kumtangaza Muongozaji na Mwandishi wa Filamu, Amil Shivji @amilshivji kama Mkurugenzi mpya wa Tamasha hilo.
Hongera @amilshivji#ZIFF#BongoMovie#CineBox