@abuu_efendi@PolycarpMDM Nyumbani kupi?! Waje kukatwa vichwa na kutekwa?! Pambanieni uhakika wa HAKI ya kuishi nchini mwenu kabla hamjaanza kuita watu warudi ambako wanatakuja kukatwa vichwa/kutekwa na hakuna anayejali.!
@freshtv2023@PolycarpMDM Waondoke waende wapi?! Warudi huku siyo?! Ambako kila kukicha vijana kwa wazee kwa wazee wanatekwa na kupotezwa?! Na kama haitoshi wameanza kuwakata VICHWA?! si bora kuuliwana watu wa mataifa kuliko kuuliwa na ndugu zako wenyewe?! TANZANIA imekuwa ya OVYO kuliko hata hiyo SA.
@PolycarpMDM Pole sana kwa ndugu waliopoteza mpendwa wao, NAONA ni BORA kuuliwa na watu baki huko nje ya nchi kuliko KUULIWA na WATANZANIA wenzetu hapa hapa kwetu" Maana hapa kwetu risasi haziumizi tena! Wameona bora waanze kukata watu VICHWA!๐ญ๐ญ
Ndugu Watanzania wenzangu,
Kama mnavyofahamu, mapambano ya kutafuta haki na kuleta mabadiliko ya kweli si rahisi,na yanakuwa magumu zaidi pale rasilimali zinapokuwa haba.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kusimama imara upande wa wananchi wakati wote.Aidha, kufuatia kutoshiriki katika uchaguzi haram, chama hakipokei ruzuku hata shilingi moja. Hali hii inaleta changamoto katika kuendesha shughuli za kila siku za chama na kuendeleza harakati za kidemokrasia.
Kwa msingi huo, tunawaomba Watanzania wote muendelee kuwa sehemu ya mapambano haya kwa kuchangia kwa hali na mali. Mchango wako, hata kama ni mdogo, una mchango mkubwa katika kusukuma mbele gurudumu la mabadiliko.
Changia sasa kupitia:
Namba: 0744 446 969
Jina: CHADEMA HQ
Tuchangie kwa pamoja ili kuimarisha harakati za kudai haki, uwajibikaji na mustakabali bora wa taifa letu.
Asanteni kwa uzalendo wenu.
#ToneToneImerudi
#FreeTunduLissu
@MK47TA@Mwabuk2Boniface Mahakama ingekuwa huru kwenye suala la TUNDU LISU, hata Kesi isingepokelewa " maana ilifunguliwa kwa shinikizo la kisiasa " so kama kesi imepelekwa mahakani kisiasa itaondolewa kwa njia ile ile" Kama kesi ingekuwa na mashiko isingekuwa inapigwa danadana!! Ingeshatolewa hukumu
@Granitinho85459@Hombyjr1 Mimi nipo Zanzibar mwaka wa 19, I know what am saying kuhusu mambo ya kumiliki ardhi na kujenga Zanzibar..bora uendelee na hizo issue zingine ila kuhusu umiliki wa ardhi Zanzibar ukiwa Mtanganyika , you know nothing.!
@Granitinho85459@Hombyjr1 Kwamba ardhi ni ya Muungano?! Wewe mgogo/mchaga au msukuma wa kwimba unaweza kwenda ZANZIBAR ukanunua kiwanja na kujenga nyumba kirahisi siyo?!!
@EduTalkTz KRISTO ni mmoja tu, wanaweza kumfuata katka mila na desturi/mapokeo tofauti na kusababisha hayo madhehebu uliyoyataja.Ila fundamental principles zinawakutanisha pamoja kwasababu wote ni wafuasi wa KRISTO" Ila kumbuka kuwa mfuasi wa KRISTO pekee hakukufanyi kuwa mtu mwema!
@cleansheet_1@PolycarpMDM Niwie radhi kama nimekukwaza ktk response yangu" pengine sijafikisha ujumbe niliokusudia katka mukhutadha ulio tarajia" ila that's what makes people differ from one another! Na huo ndio ubinadaam๐
@Conspiracist_1 Katika uumbaji,vitabu vya dini havikuandika kwa kina au watafsiri hawakuelewa concepts ya uumbaji" Kweli pasi nashaka ulimwengu na viumbe vyote vimeumbwa, ila "there was a process"ya kupangilia ili vitokee kama vilivyo"ndiyo maana hata mtoto anachukua miez9 tumboni kukamilika!
@cleansheet_1@PolycarpMDM Kama ujui technology imefikia hapo(Ujui kama kuwa unaweza kufanyiwa operation ya kutolewa uvimbe tumboni/kichwani bila kutobolewa tumbo/pasua fuvu kama zamani?!'itakuwa kazi bure kuendelea ku-engage nawewe!. Ila tafuta maarifa utapata na utaelimika. Tunajifunza kila siku.๐
@Conspiracist_1 Kweli, dini na Sayansi vina misimamo tofauti, ila kuna mahali vinakutana huko mbele ya safari " maana sayansi inatafiti na kudhibitisha ukweli wa mambo jinsi yalivyotokea/fanyika! Huku dini ikisimama kwenye kuamini bila kuishughulisha akili kujua namna mambo yalivyo tokea/fanyika
@cleansheet_1@PolycarpMDM wanakupanga?! Ili wafaidike na nini?! technology imefikia mahali binadamu anafanyiwa operations bila kupasua sehemu yoyote ya mwili wanashindwaje kwenda mwezini?! kuna space stations huko angani na watu wanakaa hata mwaka mzima,inakuwaje ngumu kuongeza maarifa ya kufika mwezini?!
@Noedson_tz@kilepi_tweve Kuwaamini na kutowaamini hakuwasaidii wamarekani wala hakuwapungizii chochote, japo in other ways wewe utafaidika na discoveries zao kama unavyofaidika na internet na simu janja inayokupa kiburi cha ku type hapa! Wewe endelea kuamini kuwa ukiguswa bega NYETI zinapotea!
@mwandamizittz Yaani uamini au usiamini unapunguza nini?! Ili siyo jambo la kuamini ni jambo la wazi hivyo hali hitaji uliamini..."wewe endelea kuamini kuwa ukiguswa bega nyeti zinapotea! Ila hili waachie wenye uwezo wa kuona! Kitu kinachoonekana kwa macho hakihitaji kuamini tena"