LUNCH TIPS ✅✅✅
China Basket 🏀🏀
On #paripesa
Total odds 2+🔥
Stake 1.2Milion💰
Return 3 Milion🧘♂️
Huna Account Paripesa?
BONYEZA HII LINK 👇
JISAJIRI: https://t.co/GaSnuZ7g6g
Promocode👉👉CHAMPION20
CODE YA #MKEKA👉👉RQ771
Target ya leo ni 8M tunaanza na 3M💰💯✅
HII NDIO SABABU YA MAMA ZETU HAWAKUA NA MARAFIKI WA KIUME ZAIDI YA BABA ZETU.
Kuna jamaa aliwahi kusema, "Mvulana hawezi kamwe kuwa rafiki wa msichana kwa sababu daima kutakuwa na hisia pamoja na tamaa za kimwili."
Kati ya mwanamume na mwanamke, urafiki pekee hauwezekani. Kinachoweza kuwepo ni tamaa, udhaifu, chuki, au upendo."
Humayun Ahmed alisema, "Mvulana na msichana wanaweza kuwa marafiki, lakini upendo wao siwa hakika. Labda kwa muda mfupi sana, au wakati usiofaa. Au kuchelewa sana, na sio milele. Vinginevyo wataanguka katika upendo."
Kusema ukweli, urafiki wa mvulana-msichana pekee hauwezekani na sikwa ubaya ila ni asili zetu ndivyo ziivyo.
Kwa sababu ikiwa kuna urafiki tu, asili itapoteza uwepo wake. Sumaku na chuma haviwezi kukaa pamoja bila kuvutana na hiyo ndio asili kilakitu duniani kipo na kitakuwepo kwasababu ya asili.
Watavutia kila mmojs Ikiwa watu watajaribu kujiepusha na hii kwa kujitetea basi ni wanafiki au wadanganyifu.
Mshumaa utayeyuka karibu na moto. Mvulana na msichana wanaweza kuwa marafiki, lakini wakati mwingine hugeuka kuwa wapenzi iwe kwa siri au hadharani au hata uhusiano haramu. Na hii ni asili yetu hasi na chanya lazima zivutane nahakuna kingine.
Enjoying a debate on the interesting motion: “Young people are a burden for Tanzania and the future is a liability to them.”
Do you agree? RT for YES and Like for NO
#CSOWeek2024