Ingekuwa ZAMANI zama za Giza tungemuamini kwa kutupanga kuwa leo marekani mafuta wanauziwa $8,000 (MILIONI 20) lita moja.
Ila dunia ya leo haiwezekani kutupanga-jitu limemaliza kuongea tuu wakina ROMA MKATOLIKI waliopo majuu tayari washapiga picha Pump za States zinasomekaje.
Na hapa ndipo wakoloni weusi wanapojisahau wanahisi bado tupo zama za MAWE. Danganya hao wanaovaa suti na kukusikiliza na kukupigia makofi maana hayo ni Mazombie yako sio sisi watanzania.
ELIMU MBALI MBALI ni mzigo.
Huyu Mama polisi mpaka alikua anaona aibu kumuangalia KC Dorothy Semu usoni maana wanafuata maagizo ya Ajabu sana. Mnazuia watu mahakamani kwa sababu gani?! Mmepiga watu mmeumiza watu kwa sababu gani?! Ni ushamba na Upuuzi