Broke minimum nigga ndo nafika kejani after kusimama ndani ya gari 30 mins ju sina nauli ,nafika kejani vyombo ni chafu mafuta taa inanuka kumbe stove imeleak.Ugali nilikua nimebakisha Jana usiku ndo napata mende wamekula to extinction.Fuliza limit ni 9 bob swali ni jamo.