@tinniekaris @odongo_mc@MagufuliJP Hata uganda, malawi, zambia wanatumia kiingereza, je wameendelea kuliko sisi. China wanatumia kichina, na wanaendelea, lugha ni muhimu kwa maendeleo ila si lazima kiwe kiingereza. Sasa nipo tanzania, lugha yetu mama ni kiswahili, why nikomae na english kuwasilisha ujumbe?
@tinniekaris @odongo_mc@MagufuliJP Wee tulia bwana, hakuna asiyejua kiingereza hapa, tunajifunza kama lugha nyingine. Ila hatukitukuzi kiasi kwamba tunaona ni lugha bora kuliko ya mama yangu na baba yangu, never. Nitaitumia lugha yangu popote inapohitaji english nitatumia english.
@tinniekaris @Stephen75762875 @odongo_mc@MagufuliJP Kapasta, resista, kioo cha kugusa, umbambanuaji, fotosintesisi n.k sasa wewe utasema mbona maneno ya kisayansi ya kiswahili yanafanana na kiingereza. Jibu ni lugha zote duniani maneno ya kisayansi yanachimbuko moja ndo maana yanafanana kimtamshi tofauti ni mandishi.
@tinniekaris @Stephen75762875 @odongo_mc@MagufuliJP Wee ndo kweli, kuna neno gani au kitu gani hakina neno la kiswahili. Sema wewe hujui kiswahili, so jifunze kiswahili.
@msami_daniel @kihara_njuguna @tinniekaris @odongo_mc@MagufuliJP Hatuzungumzii lugha ya darasani, fuatilia chanzo cha mjadala. Rais kaandika kiswahili, kuna mkenya anasema kwa nini anaandika kwa kiswahili.
@keynan_dan@odongo_mc@MagufuliJP Kwa navofahamu, tanzania tunamtegemea saana mchina, ila hatujifunzi saana kichina, so usilazimishe mtu aongee kiingereza eti ndo maendeleo. Ridiculous!!!
@BarnaiKB @odongo_mc@MagufuliJP Andika kijaluo kaka, where is the lie ndo nini? Kiswahili kwanza, kijaluo ukiweza kitukuze, then malizia where is the lie😀😀😀