The most depressed man in the family isnβt the mother, isnβt the father. Itβs the eldest son. Carrying pressure. Carrying silence. Carrying everyone. To every firstborn son, may you WIN, loudly and unapologetically.
Vijana kama uko under 30 na huna any responsibility i recommend ujitume as much as you can, take many risks, fanya investments, network as much as you can
Itafika point you will never need to work this hard again. Na utaenjoy the rusults your whole lifetime
VIDEO:
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi.
Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, amesema kuwa amani ya kweli haiwezi kupatikana kwa kutumia nguvu bali kwa maridhiano na haki, akisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kulinda amani ya nchi kwa kuhakikisha mifumo ya uchaguzi inarekebishwa ili kutoa nafasi kwa upatikanaji wa viongozi wa haki na wa kweli.
βKatika hali ya kawaida, nani anaharibu amani? Anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema βjamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi kwani mifumo ya sasa haiwezi kutupatia viongozi wa haki na kweliβ?β amehoji Askofu Pisa.
Akizungumza katika mkesha wa Pasaka uliofanyika Kanisa Kuu la Mtakatifu Andrea Kagwa, Jimbo Katoliki Lindi, Askofu huyo amesema kuwa kama kurudi mezani ndiko kunakoweza kulinda amani, basi kila anayehamasisha hilo anapaswa kuungwa mkono, si kukandamizwa au kukamatwa.
βKwa maana hiyo wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti, na wengine wasikamatwe wala kusumbuliwa. Pia mihimili isiingiliwe bali itende kazi zake kwa haki,β amesisitiza.
Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopatikana kwa gharama kubwa, hivyo haipaswi kuchezewa, huku akisisitiza kuwa taifa linapaswa kuikataa dhana ya kuimba wimbo wa amani isiyotokana na haki.
Kauli ya Askofu Pisa imekuja wakati ambapo mjadala wa mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na ushiriki wa vyama vya siasa umekuwa ukitawala anga ya kisiasa nchini, huku kukiwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyama vya upinzani kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kukamatwa kwa viongozi wao wakubwa akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu @TunduALissu , na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.
Omggggggggggggg, they fvknnn replied πππππππ
TWITTER PLS DO YOUR THING ππΌπππππβ€οΈπβ€οΈππππππ
FAHAMU YALIYOJILI KWENYE KESI YA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA SIMIYU.
NI KESI INAYOHUSU TUHUMA ZA KUMWINGILIA KINYUME NA MAUMBILE BINTI WA 2003.
UTAELEWA JAMAA KASHINDAJE, USHAHIDI ULIOLETWA MAHAKAMANI PANDE ZOTE MBILI.
TWENDE MWANZO HADI MWISHO.π
@prossoff Wengi watasema usioe mwanamke ambae kakuzidi shida.... Mind you ata mwanaume kwao wanashida (wote makwao shida). Cha muhimu apo kama hauko na uwezo pia hauko taari usioe. Au mwanamke atafute na yeye kazi aweze kusolve shida za kwao (kila mmoja asolve matatizo ya kwao)