Huyu binti alitrend sana na kigenge chake cha MIKATE usku, baada ya week kadhaa hakuonekana, swali tunalojiuliza je alikuwa usalama wa taifa alimaliza mission yake akarudi kambini au ni Malaika alirudi mbinguni kwa baba, au Alienda wapi ??
Leo folowazi ni wengi kweli kweli
Shusha handle yako hapa wapwa wakufolo kwa pamoja tufike 10k
πππππππππππ
Let's grow together π€π€π€π€
#Roadto600kfollowers