@Ombudsmanlife@swahilitimes lakini sio wakatwe point mzee,,fikilia kwenye football timu imepambania point zake af waambiwe wanakatwa point ona inavouma,,,ndivyo hivyo kwa madereva wamepambania leseni zao af waje kukatwa point alooo,,,,bora waangalie adhabu nyingne