@dansilly_ke Halafu wazungu hawapendi mademu wa design hiyo. Wanapenda wale wembamba. Ukitokea Africa unawakuta hawana soko, kazi yako inakuwa ni kuwabadiri tu....
@doktamathew Inategemea kabla ya kulala ulikunywa maji kiasi gani, ulikunywa pombe, ulikunywa soda? Pia inategema na mazingira, kama ni baridi ukajidanganya unywe chai jioni wakati unakula, utakojoa balaa. So inategemea na mazingira
@PapiiKhan98 Udom wamejaa watu wa kanda ya ziwa. Almost 70% wanatoka mikoa hiyo, I mean Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, Kagera na Mara. Pia, watu wa mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora na mikoa ya jirani ya Singida, Morogoro, Iringa, na Njombe wapo lakini siyo wengi sana kama Kanda ya ziwa
@Elsukay0 Jamaa nasikia anakuja simba msimu ujao? Namkubali kwa mashoot! Muda aliokaa Yanga, alipiga mashooti kama 1000 hivi gorili. Watu wa hivi ni wachache sana...
@SportsarenatzTz Mechi zipo kama 4 au 5. Wote wanatofautiana alama moja au mbili. Lolote linaweza kutokea, ngoja tuone zikibaki mechi 2 nani atakuwa amemzidi mwezake? Ukimtangaza sasa hivi anaweza kuzidiwa hapo baadae na wenzake. Ni kama vile unamtangaza man of the match kipindi cha kwanza!!
@keezafaith It is very expensive to date a dream leady. So, it's better to buy time with mastubation while improving your financial capacity to achieve your dreams.
@YoungAfricansSC Mpango kwa siku 2? Labda mfanye hivi:
1. Dube acheze no 11 (inverted winger) awe anahang peke yake kule pembeni
2. Pacome na Okello wacheze hizi no 8 au 10 hapo mbele kati (pembeni kunaua uwezo wao). Max no 7.
3. Duke no 6, Bakari 5, Baka 4, Boka 3, Mwenda 2, Diara 1. 9 kiungo
@shaffihdauda1 Hata Masau Bwire alipofungwa na yanga alisema yanga walikuwa wanakimbia mno tofauti na tulivyowazoea. "Leo Dube amekuwa na mbio kiasi hiki"? Nikikumbuka jinsi alivyokuwa anaongea huwa nacheka sana! Tupia clip yake kama unayo tujikumbishe....
Kama una akaunti ya PayPal,Skrill au Airtm na zipo full verified jaribu kutumia hii platform ya sproutsgigs
Kuna gig ndogo ndogo za $0.10 hadi $7 ni wewe tu na utakayopenda
Uzuri zote unafanya chini ya dakika 10, hapo ukianza na zenye $1.50 ukafanya 25 kwa siku utakua mbali ๐
@IAmHaule Hizo catoni 30 unazibeba kichwani? Hujarlezea utatumia usafiri gani. Naji utanunua kwenye duka la jumla au kiwandani. Kwa ufupi nilitaka kusema kwamba, kuna gharama za uendeshaji zimejificha
@YoungAfricansSC Nakubaliana na uchambuzi wa Bongo FM. Philosophy ya kocha ndiyo tatizo. Imefanya wachezaji wacheze chini ya viwango vyao. Defensive mentality ni kubwa kuliko winning mentality. Hii imejidhihirisha tangu mechi za club bingwa na ushindi anaopata katika michuano ya ndani (NBCPL).
@Roma_Mkatoliki Mwanza
1. Utalii - hidadhi za Saa Nane na Lubondo
2. Kilimo- Mpunga, mahindi, mtama, maharage
3. Ziwa Victoria - Uvuvi, Utalii, Usafiri
4. Population - biashara, investment
5. Mifugo- ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku, nk
6. Hali ya hewa- inavutia kwa mapumziko na uwekezaji