MAPOKEZI YA WANACHAMA WAPYA NDANI YA TAWI LA UVCCM CHUO KIKUU CHA USHIRIKA ILIYO CHINI YA SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA KILIMANJARO AMBAPO MGENI RASMI NI KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA (MNEC) na mjumbe wa SEKRETARIET YA CHAMA CHA MAPINDUZI @KenaniKihongos1
STEPPING OUTSIDE MY COMFORT ZONE
One of the most powerful lesson i learned from the Leadership without a title was this;
"If you want to grow,You must be willing to be uncomfortable" And
"If you want your voice to be heard,you have to speak even when it feels scary"
Nimewaza sana aliyeandika anatumia kiungo gani kufikiri
Lissu akiwa mwenyekiti wa chadema "ataoandoa umaskini" kwa njia gani?kwa rasilimali gani?
Atarekebisha mikataba
Kwa mamlaka gani aliyokuwa nayo?
"Atatupatia katiba mpya "
Mmefilisika sana sera
@Emmanuelaizer @TunduALissu Ataondoa umaskini?
Kwa resource gani alizonazo za kumfanya awatolee umaskini watanzania?
Ataleta katiba mpya? Serious ?
So nimejaribu kuangalia ila nahisi mlengo wenu hauna tija kwa taifa na hizi ni propaganda nyepesi za watu waliofilisika sera
@fgdewji Udogo wangu niliamini kwa kuwa mama yangu alikuwa mama ntilie nilitamani nami nije kufungua mgahawa wa chakula zaidi ya ule wa mama ambao ulikuwa unasogeza maisha yetu mbele earn to mouth instead of saving
Akikupa muda nawe mpe muda
Akiwa busy,nawe kuwa busy
Akiringa ,kuwa jeuri
NB:USIWEKEZE MUDA KWA ASIYEWEKEZA MUDA KWAKO
Kunywa glass moja ya maji, mazoezi mengi siku itapita mwanangu