@kigogo2014 Yaani Kigogo acha ku copy &paste sawa nimeandika Engla mamoto kafariki Ila wewe Ni nani unasema kafa kwa Corona?Umezoeleka kwa upotoshaji
Ripoti ya Maendeleo Afrika 2020 inaonesha Kampuni za kimataifa zinapora Afrika $89bn kifisadi kila mwaka huku nchi zinakotoka kampuni hizo zinasaidia Afrika kiasi cha $48bn kwa mwaka.Afrika inahitaji kusimamia inachostahili zaidi kibiashara sio misaada.https://t.co/VYFPdbR7zz
Tukisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki, mkubali msikatae. Ukitaka kujua uchaguzi ulikwa wa huru na haki waulizeni Mawakala wenu wataongea ukweli, sijasikia mawakala wakilalamika kuwa upinzani mmeibiwa kura Pambaneni na hali zenu, Wananchi walichagua Maendeleo ya vitu siyo watu
Kilichoviangusha vyama vya upinzani ni kwasababu TOFAUTI BAINA YAO NIKUBWA KULIKO TOFAUTI ZAO DHIDI YA CCM NDIO MAANA HAVIKUWEZA KUSHIRIKIANA UBUNGE KAMA 2015..KWANINI HAVIKUJIFUNZA FAIDA YA USHIRIKIANO WA2015?
@TunduALissu@freemanmbowetz@zittokabwe@allysalehznz@MariaSTsehai
I am deeply saddened by the news about the passing on of the former President of Ghana, H.E. Jerry John Rawlings. My condolences to Your Excellency Nana Akufo-Addo and the brotherly people of Ghana for the loss of this Great-man of Africa. May his soul rest in peace, Amen.
Lissu ameondoka nchini kinyonge sana( lonely), yaani hakuna watu hata viongozi wa chadema airport. Bila shaka mabalozi wamejua kwamba Lissu hana Umma lakn wanalazimisha fujo tu( instability)
@TunduALissu@MariaSTsehai@zittokabwe@MsigwaPeter @nondo_abdul @ACTwazalendo
" Nimesikia Lissu anajibu mambo mawili alipohojiwa na kituo cha SAUTI YA AMERICA(VOA). Anasema aliwambia watu wandamane uchaguzi ukivurugwa. Pili wananchi hawajawa tayari kuandamana wakati uchaguzi umevurugwa. Naomba nikusaidie tatu inayotokana na 1&2 Kwamba watanzania wana akili
Well Done Kamala Harris
She Was a Senator For California and Now She's The First Black Woman to Hold The Position of Vice President and Sit in The Vice President's Office in The United States.
Congratulations to All Ladies Around The World.
You Can Do It, Stand Up Comrede😘
Niliwahi kusema Chadema itamfia Mboe mikononi mwake, haya sasa ona yaliyomkuta.Yote hayo ni ukiukwaji wa Demokrasia kwenye Chama Chake. Chama chake akifuati misingi ya Demokrasia makini.Huwezi kuhubiri Demokrasia imekiukwa wakati wewe ndiye mtu wa kwanza kukiuka Demokrasia🤣
"Nitahakikisha kwamba wakati wa kipindi changu cha uongozi ninashirikiana na viongozi nitakao wateua pamoja na nyinyi wananchi wenzangu katika kufanikisha utekelezaji wa mipango yetu mikuu ya maendeleo, ikiwemo miongoni mwa iliyotolewa na ilani ya chama cha mapinduzi🔥🔥🔥🔥