Tarehe 30 Desemba 2006, asubuhi ya Sikukuu ya Eid, Saddam Hussein alisimamishwa juu ya jukwaa la kifo.
Alivaa koti la rangi nyeusi, suruali ya kijeshi, na shati jeupe. Alikuwa mtulivu, lakini macho yake yalionyesha dharau.
Saddam alifungwa mikono yake kwa nyuma huku miguu yake ikifungwa minyororo.
Saddam alipandishwa kwenye jukwaa tayari kwa kunyongwa, alipokuwa akipanda kwenye jukwaa mmoja wa walinzi alisikika akisema "Nenda Motoni" na kumfanya al-Faroun awaonye watu kuwa hakuna mtu mwenye haki ya kusema chochote.
Wakati kamba ya kunyongwa ilipofungwa shingoni mwake, aliangaliana na waliokuwepo, huku akikariri maneno ya kidini..... Subiri
Ilikuwa ni Desemba 13, 2003. Usiku ulishashika hatamu katika kijiji cha Ad-Dawr, kilicho karibu na Tikrit, Iraq.
Kundi la askari wa Marekani waliokuwa wakifanya operesheni ya siri walifika katika eneo ambalo walihisi kuwa mtu aliyekuwa akitafutwa zaidi duniani angeweza kujificha.
Wakiwa na bunduki zenye miangaza mikali, walizunguka shamba dogo la mitende. Chini ya mti mmoja, kulikuwa na shimo lenye mfuniko wa mbao.
Walipolifungua, walimkuta mtu aliyekuwa amechoka, mwenye ndevu ndefu zilizokuwa zimejaa vumbi na macho yaliyokuwa yamepoteza matumaini.
Hakuwa mwingine bali Saddam Hussein, mtu aliyewahi kuitawala Iraq kwa mkono wa chuma kwa zaidi ya miaka 24.
Huyu ndiye Saddam Hussein Abd al-Majid al-Tikriti, mtu aliyewahi kuwa mfalme asiye na taji wa Iraq, lakini mwisho wake ulikuwa wa fedheha na udhalilishaji wa hali ya juu.
Thread 🧵 ⬇️
@godbless_lema Unajua kabla ya vyama Vingi 1992, CCM ilikuwa na viongozi wachawi wachawi weeeengi. Baada ya kuona Vyama vya Upinzani vinaanza na sala hadharani, ndipo nao wakaanza kuigza. Sasa ukiigiza kitu kisichotoka moyoni ndio utarudia tena sanamu zako
@furaha_nzunda@kigogo2014@MagufuliJP Ccm mpya itaundwa n Musiba Polepole n kibajaji n Makonda hatutaki wazee wa chama wala wale wa goli la mkono tutatumia polisi kushinda
Ili kuondoa huu utata, ni vyema ikawa mikutano ya hadhara tu ili kila mmoja asikie huo ugaidi unaopangwa.
Haya mambo ya Siri Siri si mazuri sana.
Agiza am OCD waanze kuruhusu mikutano ya hadhara ili kuondoa usumbufu wa polisi kuvamia ofisi za watu kama ilivyotokea Arusha