Ingiza kipato kwa kazi zako za kidigitali!. Software Solutions to help Creators monetize. Try for FREE our WhatsApp Solution by sending "Buy" in link below ⬇️.
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata 𝗨𝗔𝗘 𝗿𝗲𝘀𝗶𝗱𝗲𝗻𝗰𝘆 ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii.
Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI
𝙈𝙖𝙗𝙖𝙮𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙨𝙪 𝘿𝙪𝙗𝙖𝙞 𝙆𝙬𝙖 𝙀𝙭𝙥𝙚𝙧𝙞𝙚𝙣𝙘𝙚 𝙮𝙖𝙣𝙜𝙪
-Utakuwa umefika Dubai
-Umejua kila kona ya Dubai
-sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk
𝗕𝗼𝗼𝗸𝗺𝗮𝗿𝗸, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee👇
Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia
Chachu ilitoka wapi?
“𝙄 𝘼𝙡𝙬𝙖𝙮𝙨 𝙘𝙝𝙤𝙤𝙨𝙚 𝙧𝙞𝙨𝙠𝙮 𝙛𝙧𝙚𝙚𝙙𝙤𝙢 𝙤𝙫𝙚𝙧 𝙘𝙤𝙢𝙛𝙤𝙧𝙩𝙖𝙗𝙡𝙚 𝙨𝙡𝙖𝙫𝙚𝙧𝙮. 𝘼𝙡𝙬𝙖𝙮𝙨.”
Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini.
Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo.
Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa 𝕞𝕟𝕦𝕟𝕦𝕫𝕚𝕠𝕟𝕝𝕚𝕟𝕖 tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo
Sasa yeye akaanza kwenda 𝘿𝙪𝙗𝙖𝙞 next ikawa China
Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai.
(Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE)
Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo
Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana.
(Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza👉🏾 https://t.co/zCBwnjBe0A)
Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa.
Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk
Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia
NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu.
Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China
Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe
Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende
Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai
Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi
Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu
Kukosa mteja labda nirogwe.
Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia.
Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi.
Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale.
Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu.
Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa😂 (https://t.co/5MPIdKedYQ)
Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia 𝙬𝙝𝙖𝙩𝙨𝙖𝙥𝙥.
(Learn Whatsapp marketing👉🏾 https://t.co/whyDV6cN2d)
Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie 𝙐𝘼𝙀 𝙄𝘿 ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara
Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu.
Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo.
Bana Mungu sio Mark Zuckerberg😅. Round hii mambo ikajipa
Process ikaanza
👇👇
Habari ndugu zangu humu ndani, kuna project nimekua nikiifanyia kazi kwa muda kidogo, nilianza kuitumia mimi binafsi kwa kusolve changamoto nilizokua nazipata kwenye biashara na imeweza kunisaidia kwa kiasi kikubwa… 🧵
I have made a Laravel API-CRUD Laravel Generator for Laravel 12.
It's a fork update of InfyOm since it doesn't work on Laravel 12 yet.
Helo retweet
https://t.co/44ZGk1U5FH