Waziri wa Ujenzi mpya angeanza na kutembelea miradi ya barabara inayoendelea DAR na kuhimiza wakandalasi waongeze kasi na kuacha kuvuruga sehemu ambazo awazijengi kwa wakati huu,aisee hii foleni ni shida, katikati ya mji hakufai sijui mvua zikianza kuchanganya itakuwaje
@swahilitimes Tunaenda kusahau kutembea na cash sasa hakuna namna Serikali lazima ikusanye kodi mchawi matumizi yao tu, huku ndio kuna makusanyo ya maana sio kukimbizana na wachuuzi
Life likikuvuruga, many of us kimbilio letu ni nyumbani.
Ukishakua mtu mzima una wajibika kutengeneza "nyumbani" kwa watoto wako pia.
At certain point in life, they will need it.