Muonekano wa chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere Leadership School kilichojengwa na kukamilika Wilayani Kibaha, Pwani.
Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele kwa kishindo.
#ChamaBora#CCMmpya#TupoImara
@Mwanahalisitz Zamani kabla ya treni ya mizigo au abiria kupita palikuwa na viberenge ambavyo vilikuwa vinapita kwanza kukagua miundombinu ya reli husika hasa maeneo korofi na vipindi vya mvua kama hivi. Niajabu kusingizia mvua kama sababu wakati hapo hata layman anaona HAPAKUWA NA UKAGUZI.
@bbcswahili Bbc hopeless. Instead ya kuleta mambo yanayojenga jamii hizi ndio mnaona habari? Mbona BBC kiingereza hawana habari za hovyo hovyo hivi?? Binafsi najisikia aibu kuona habari kama hizi. Ndio maana wazungu wanatudharau kwa upeo wetu mdogo sana. Hii ni habari kweli??