Top Tweets for #BlessedTulia




Mwanamke wa kazi @TuliaAckson
atoa neno : "Hakuna bajaji wala bodaboda iliyonyang’anywa. Tafuteni nyingine, tutapangua vioja kwa hoja 😎!"
#BlessedTulia #Mbozyo2020 #connection😎 #tunajiongeza😎 #propagandazimeganda😎

Kata ya Iyela moja hiyo 😎!
#BlessedTulia
#Mbozyo2020
#Godisincontrol😎 #wemeanbusiness2020 #Mbeyampya2020
#tulianamaendeleo
@TuliaAckson

#Repost post of @TuliaAckson
“Mbeya Mjini kwa CCM 😎! #BlessedTulia #Mbozyo2020 #wemeanbusiness😎 #Godisincontrol “
#MbeyaMjini
#ChaguaCCM ✅
#UchaguziMkuu2020
#CCM
#HapaKaziTu @ Mbeya Town, The Green City. https://t.co/g1GZmKdesP
Hatua ya tano loading 😎. #BlessedTulia #Mbozyo2020 #Mbeyampya2020 #wemeanbusiness😎 #Tulianamaendeleo


Ukipata nafasi ya kukaa na wanao waambie kwamba uoga wa kuthubutu ni adui mkubwa katika maisha.
#TBT
#BlessedTulia

Moja ya jambo kubwa na lenye faraja katika maisha ya mwanadamu ni kuishi ndani ya ndoto zako na kukamilisha malengo mbalimbali uliyojiwekea, hivyo basi popote ulipo usikate tamaa ipo siku ndoto zako zitatimia.
#TBT
#TuliaMarathon
#TuliaTrustnajamii
#BlessedTulia

Upendo ndio nguzo kuu aliotuachia Bwana Yesu Kristo, hivyo hakuna jambo jema kama kuishi kwa upendo na amani katika jamii. Nawatakia maadhimisho mema ya siku ya Ijumaa Kuu.
#BlessedTulia
#GoodFriday

Maana halisi ya furaha isiyo na kifani. @Lameckditto
@MtakaAnthony
@BabuTale
#TBT
#BlessedTulia
#TuliaMarathon2020

Tulipotoka ni mbali na tunapokwenda hatupajui lakini kwa kuwa na bidii na kumtumaini Mungu tutafika pale tunapotamani kuwepo.
#TBT
#BlessedTulia
#TuliaMarathon2020


Kaza mwendo usikate tamaa kwani safari bado ni ndefu kuna milima na mabonde, lakini katika yote hayo tukimtumaini Mungu tutashinda makuu.
#TBT
#TuliaMarathon2020
#BlessedTulia

Siku zote anayemaliza hufurahi zaidi ya anayeanza.
#TuliaTrustnaJamii
#BlessedTulia
#TuliaMarathon2020

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.8M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers










