Justice & Accountability
KILLINGS CONTINUE IN TANGANYIKA / TANZANIA ๐น๐ฟ
Since the killings of October 29, 2025, up to today, no leader has publicly stood up to acknowledge, condemn, or take full responsibility for these horrific acts.
The killing of innocent citizens must never become a normal practice.
We demand TRUTH, JUSTICE, ACCOUNTABILITY, and RESPECT FOR THE RIGHT TO LIFE. ๐๏ธ๐น๐ฟ
#HumanRights #Justice #StopKillings #Tanzania
@hrw@amnesty
Ndugu Wananchi, tusaidiane kuelimisha wenzetu maana hawa mafashist wanachowaza Ni kuua Watu tu.
NAWASIHI sana tukumbushe wenzetu kila mtu Azime LOCATION kwa cm zao. Tusaidie wapambania haki wasiokua na utaalam na mambo ya kujikinga mitandaoni hawa wauaji wanaumiza hata watu wanaocomment kwa WANAHARAKATI.
Oct29 - Nov 5 Tutoke kwa wingi ni Maandamano ya Amani Haki Za ndugu zetu WALOUWAWA mo29.2025, kudai Nchi yetu Tanganyika Yetu, Haki ya Kuishi, Kupinga UTEKAJI na MATESO na UFIRAJI.
TURUDI BARABARANI.
โผ๏ธTAHADHARI NA TAFAKURIโผ๏ธ
Naona wana CCM wanalialia eti Chadema ya Mbowe ilikuwa safi sana maana alikuwa mwelewa ๐
Sasa mnajua kwa nini Tundu Lissu aliitwa radiko na sisi tunaitwa radiko? Tumekataa compromise ya pesa na vyeo! ๐ฅ
Hakuna njia rahisi ktk mapambano na hakuna mazungumzo sijui maridhiano wakati nyie hamna kitu mna compromise - mnawakamata na kuwafungulia mashtaka ya uongo wanachama na Lissu mnampa kesi ya kujibu ili mummfunge na kumnyonga?!
Alafu wajinga wanasema Lissu arudi nyuma - nchi ipumue - hakuna โ
Ni hivi: nyie ndo mnatakiwa ku Back off and take the L
Tundu Lissu is right - this is not mere politricks! Anaweka msingi muhimu wa Taifa mpya - anahitaji tusimame naye bila kusita! Kazi anayofanya ni ya upako wa Mungu! Asife moyo, asichoke au tumekwisha!
#IStandWithTunduLissu
Na muwe makini na hata wanachadema wanaowaletea porojo ya kumwonea huruma Lissu gerezani eti akubali tu โmazungumzoโ mara waseme shida ni @HecheJohn - thatโs a lie!
Ni waongo na wazandiki na wanataka kula pesa za Mama Abdul tu! Wakataeni kabisa!
Otherwise tuazimie #MO29 v2 ni ya kudai Lissu aachiwe! Until then tujipange kumtia moyo Lissu na kuandaa maandamano!
#FreeTunduLissu
Huyu Mwenye tisheti ya bluu Anaitwa peter Richard Mushi ni fundi simu Kariakoo
alipigiwa simu tarehe13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anahitaji kutengenezewa simu
Alimwelekeza alipo lakini mteja akataka ndugu peter amfuate maeneo ya china plaza alipofika china plaza
Alikutana na huyo mteja aliyekuwa anampigia simu kumbe hawakuwa wateja bali ni watekaji ๐ walikuja na gari toyota crown rangi nyeupe aina plate namba ndugu wamezunguka vituo vyote vya police hospitali zote mochwari zote bila kupata majibu
Huyo bonge alievaa shati ndio aliemteka na wenzake kama unamjua tupatie majina yake inbox.
Samia Suluhu Hasan killed many Tanganyikans/Tanzanians yet refuses to accept responsibility or resign.
Instead, the allegations continue to include killings, abductions, enforced disappearances, torture, sexual abuse, and politically motivated charges against innocent citizens.๐น๐ฟ๐๐น๐ฟ๐
We demand justice, accountability, and respect for human rights. ๐น๐ฟ
@hrw@amnestyusa@IHRF_English@court_criminal
We stand together to defend and fight for HUMAN RIGHTS
in TANGANYIKA/TANZANIA ๐น๐ฟ.
Justice, freedom, dignity, and human rights must be fulfilled โ๐ฝ๐น๐ฟ
#videocredit# @MariaSTsehai