@Savasec Chukua vidonge vya septrin viponde halafu changanya na mafuta ya mgando babycare upake asubuh na jioni.
Fua boxer zote kwa maji ya moto na sabuni, anika juani halafu zipige pasi.
Usipopona katambike
The word I want to use to describe Liam Rosenior's tactics is "primitive".
Maresca wasn't flawless, but his tactics always felt well thought-out, sophisticated and almost best-in-class. Rosenior feels like an academy coach by comparison.
Kuna kilio na kijembe kimezoeleka masikioni: Kinahusu watu walio nje kuwa ni wachochezi. Kina kasoro nyingi, nashauri kiachwe.
1.Watu si wajinga kushawishiwa wasichopenda. Kama huamini, nawe washawishi wakufuate wewe.
2.Siyo sifa njema kuwa na wakimbizi nje. Tuifanye nyumba yetu kuwa ya wote - wema na wakorofi.
3.Kubaki ndani si kigezo cha uzalendo. Kuna mijizi, mifisadi, michokoraa, miuza siri za nchi na mirafi imejaa humu ndani.
Haya anaandika PhD BAGONZA.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@pacque187 Gen Z wenyewe kwenda misikitini na kanisani ni kisanga halafu ndio uwachonganishe kwa dini? Hao washauri IQ zao zina walakini... Hichi kizazi ni balaa, wazazi wenyewe majumbani wanakiona cha moto
@fatma_karume Shangazi kwani hamkujaaliwa watoto nyie, kwa umri wenu hata mngeweza kuwapa huo urithi wote watoto. Mali hizo pengine zinaweza zisiwasaidie chochote zaidi ya kuonekana tu unazimiliki.
Mlishafurahia ujana wenu vizuri, kwanini mtiane kashkash za uzeeni