Kaminshna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji nchini, Dk Anna Makakala akinyanyua juu ufunguo wa mfano ukiwa ni ishara ya kukabidhiwa nyumba hizo. Nyumba hizo zimejengwa na NHC na kuuzwa kwa Idara ya Uhamiaji.
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa tunampongeza
Mh. Rais Dkt John Joseph Pombe Magufuli
Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). @nhctanzania@TZMsemajiMkuu@MsigwaGerson
IYUMBU SATELLITE CENTRE: Conveniently located close to the University of Dodoma (UDOM), easily accessible and linked to Dodoma CBD & Government City. #TunajengaTaifaLetu#BuildingOurNation
Nimepata fursa leo ya kutembelea Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na kupata nafasi ya kubadilishana uzoefu na Mkurugenzi Mkuu, Dkt. Maulid Banyani. Kazi kubwa inaendelea katika taasisi hii. Endelea kufuatilia #TUNATEKELEZA2019
Dkt. H.A.
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa, tunaungana na Waislam wote Duniani kuwatakia kheri na baraka ya sikukuu ya Eid el Fitri.
#tunajengataifaletu
RAHA LEO COMPLEX - MTWARA
Jengo hili linapangishwa yakiwemo maeneo ya Ofisi, mabenki, supermarket na maduka ya bidhaa mbalimbali.
Miundombinu ni ya uhakika pamoja na maegesho ya magari. Wasiliniana nasi kwa namba +255 768 847 645 au +255 232 333 398 #tunajengataifaletu
MPANGAJI MNUNUZI
Mpango wa mpangaji mnunuzi kutoka Shirika la Nyumba la Taifa unakuwezesha mteja wetu kununua Nyumba ya ndoto yako huku kodi yako ya kila mwezi ikiwa ni sehemu ya malipo ya bei ya Nyumba unayoinunua hadi kufikia miaka 10
#TunajengaTaifaLetu
+255 754 444 333
MPANGAJI MNUNUZI
Mpango wa mpangaji mnunuzi kutoka Shirika la Nyumba la Taifa unakuwezesha mteja wetu kununua Nyumba ya ndoto yako huku kodi yako ya kila mwezi ikiwa ni sehemu ya malipo ya bei ya Nyumba unayoinunua hadi kufikia miaka 10
#TunajengaTaifaLetu
+255 754 444 333
MOROCCO SQUARE 🔹One of the best homes in Dar es salaam
🔹Best lounge dining combo with view
🔹Based on contemporary kitchen ideas
🔹Skylish modern sanitaryware & accessories 🔹Exceptional staircase to 3 bedrooms.
APARTMENTS
Available for sale!
BUY |LEASE |INVEST
+255 754 444 333