Mtu anakuambia kuzimwa kwa mitandao Oktoba 29 taifa lilipoteza 183B
Sasa jiulize kama isingezimwa mitandaoni, sheli ngapi zingechomwa moto ? Watu wangapi wangeuawa ? Hao watu ambao wangeuawa kwa kuwa gas lighted na akina @mangekimambi gharama ya uhai wake ni Trilion ngap?
Leo tumeandika historia nyingine kubwa kwa Taifa letu kwa kuzindua Makao Makuu ya kwanza ya Ulinzi wa Taifa mkoani Dodoma. Hatua hii imekamilisha maono ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere ya mwaka 1964 wakati Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilipoundwa.
Majengo haya ambayo tumeyajenga kwa fedha na wataalamu wa ndani ni uthibitisho wa ukomavu wa Taifa letu katika kupanga, kuamua na kutekeleza kwa ufanisi miradi mikubwa. Kuziweka pamoja ofisi za JWTZ na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kutaongeza tija na ufanisi wa kazi, na ni kielelezo cha dhamira yetu ya kujenga taasisi imara za kulinda uhuru, mipaka, rasilimali na watu wetu.
Mafanikio ya mipango tuliyojiwekea yanategemea sana uwepo wa amani na utulivu. Hivyo, wito wangu kwetu sote ni kuendelea kuimarisha ulinzi, usalama, umoja na mshikamano wa nchi yetu.
Angalieni kwa umakini namna Tanzania ilivyo mbele ya muda
Walileta zoom sisi tayari tulikuwa na e-mikutano
Walileta x yenye grok inayovua nguo na kushare ponografia mitandaoni,Tanzania ikaifungia x haraka sana kulinda watoto wetu na maadili yetu, leo Australia,Ufaransa ,UK,Spain wanalazimika kuweka sheria za kuwazuiw watoto kabisa kuingia mitandaoni, ufaransa na UK wanalazimika kuwapeleka x mahakamani kwa mtandao wao kuhusika kusambaza picha za ngono.
Ufaransa anataka kuanza kuwa na e mikutano yake anataka kuachana na zoom ya mabebari waiba taarifa.
Mkiambiwa Tanzania inajua muelewe
@SuluhuSamia@ikulumawasliano@Eric__Bernard@Advocate_Jebra@Jambotv_@JamiiForums@EduTalkTz@KumbushoDawson@MachumuKadutu
SATIVA @Sativa255 alitekwa zaidi ya mwaka na nusu umepita
Ulimboka yule daktari alitekwa zaidi ya miaka 16 imepita
Lakini @bbcswahili wameandaa documentary leo kuhusu hali hio Tanzania. Kwa nini? unadhani ni bahati mbaya?
Baada ya mkakati wa kupindua nchi kushindikana October 29 kushindikana ,watengeneza michongo hio wanajaribu kutumia media narrative kuihangaisha akili ya vijana wetu wasio informed, Shtukeni msicheze ngoma ya wakenya na mabwana zao @bbcswahili@ikulumawasliano@MariaSTsehai
na Kenge wenzako tulieni
Poleni sana mama zangu , wana harakati wabaya sana kama @MariaSTsehai wamesababisha watanzania wengi sana kupoteza ndugu zao na kuwasababishia ulemavu wa kudumu, huku wao wakifaidika ughaibuni.
@mangekimambi kwa nini usiitishe mchango japo wakuwapa pole wahanga wa matukio uliyosababisha?
Nawaza kwa kina sana ,tusingekuwa na TCRA nchini iliyo imara ,leo hii tungekuwa tunaomboleza mauaji ya umma. Believe it or not ,take it or not . Mitandao ya kijamii isingedhibitiwa siku ya uchaguzi tungechinjana kama wanyama mwitu.
@SuluhuSamia@ikulumawasliano uliliokoa Taifa na aibu ya milele
Nimepitia taarifa ya mamlaka yetu TCRA kuhusu makampuni yetu @Vodacom YAS @Airtel_Tz TTCL ,Halotel na hata @DStv Star times hadi mambo ya POSTA. Niseme tu ukweli , mawasiliano nchini yameimarika sana. Wizara ya TEHAMA , mama @SuluhuSamia umeimarisha mawasiliano
@ikulumawasliano
https://t.co/igjhtXgXWt
@JamiiForums@Jambotv_@millardayo
Marehemu hasemwi lakini Mbowe ameongea ujinga wa ajabu sana.
Familia ya Mkwe wake Mtei ilichoma moto BOT kupoteza ushahidi wa wizi wa fedha na Nyerere akamtimua.
Mbowe alioa mtoto wa Mtei ili afaidi mali za watanzania
Leo anaongea upuuzi kama huu ?
Mbowe kaa kimya
@Advocate_Jebra@BrendaRupia@EduTalkTz
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mzee Edwin Mtei, Gavana wa Kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Mzee Mtei atakumbukwa kwa mchango wake muhimu katika ujenzi wa Taifa letu, hususan katika kuimarisha misingi ya mipango, uchumi, fedha na demokrasia.
Ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Amina.