#KumbukumbuLaTorati 9:3 Basi Jua Siku Hii Ya Leo Kuwa BWANA Mungu Wako,Ndiye Atanguliaye Kuuka Mbele Yako Ndivyo Utakavyowafukuza Na Kuwapoteza Upesi,Aama Alivyokuambia BWANA.
MIC-CHECK 1-2, Ndio sasa mpendwa! Karibu Tuabiri gari #BarakaExpress. Dereva Wako Ni @DLeleina
MIC-CHECK 1-2, Ndio sasa mpendwa! Karibu Tuabiri gari #BarakaExpress Nami @DLeleina .Uko wapi tukupitie? Tusafiri na nani? Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG:@radio_ashe Listen Live:https://t.co/fqtQDLJKc8 or use APP: Radio garden
#MazungumzoBarazani#FaithFriday.
Ni Vitu Gani Husababisha Watu Kurudi Nyuma Ndani Ya Imani, Na Ni Vipi Tunaweza Kushinda Majaribu Ya Kurudi Nyuma, Na Kuendelea Ndani Ya imani Yetu Kwa Mungu, Licha Ya Majaribu?Listen Live:https://t.co/fqtQDLJKc8 or use APP: Radio garden.
#MazungumzoBarazani#FaithFriday.
Ni Vitu Gani Husababisha Watu Kurudi Nyuma Ndani Ya Imani, Na Ni Vipi Tunaweza Kushinda Majaribu Ya Kurudi Nyuma, Na Kuendelea Ndani Ya imani Yetu Kwa Mungu, Licha Ya Majaribu? @DLeleina
Je,Uu Hali Gani Sahibu Wangu? Karibu Tunyakue Mibaraka Za Jioni Ndani #ChemichemiYaUzima Ukiwa Nami @DLeleina Sema Nami Kupitia:Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG:@radio_ashe Listen Live:https://t.co/DTvBe7Er5B or use APP: Radio Garden.
Hujambo mpendwa wa Mungu! Karibu tumsifu Mungu kwa lugha zetu wenyewe kwenye mpango bomba wa wikendi #SifaExtravaganza nami @Jonathan_Tinga. Kamata position, Unacheck in ukiwa wapi?
Call:0712000014. Sms/Whatsapp:0712040010 X/IG: @radio_ashe
#1sthour#faithfriday
Helloooh! ni Ijumaa ya baraka, je uko tayari kwa kipindi cha shehena la baraka? karibu basi ukamate position yako ya sifa tukisonga.
call 0712000014 sms 0712040010
Mjadala: Maeneo ya wafugaji nchini Kenya tumesalia nyiuma kimaendeleo kwa muda mrefu. Unadhani kipi tofauti tunastahili kukifanya ili kuimarisha maendeleo katika sehemu hizi?
Call 07 12 00 00 14 Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10
Mjadala: Baadhi ya viongozi wa kidini katika eneo la bonde la ufa wamependekeza serikali za kaunti katika eneo hili kupiga marufuku matumizi ya Muguka wakidai kuwa umesababisha madhara kwa vijana. Je unadhani kuwa marufuku ndio suluhu?