Ee Mungu uliye nguvu na makimbilio yetu, kwa wema uwasikilize watu wako wanaokulilia, kwa maombezi ya Maria Mtakatifu asiye na dhambi mzazi wa Mungu, na ya Mt. Yosefu Mchumba wake, na ya Wat Petro na Paulo Mitume wako,na ya Watakatifu wote. Usikilize kwa wema sala tunazokutolea🙏
SAMAHANI MZEE WASIRA. TAFADHARI WAELEZE WANAOMCHUKIA PADRI KITIMA, WHO IS FATHER KITIMA?
Mwl. John Pambalu
Kila ninapomsikia Padri Kitima akizungumzia tishio dhidi ya usalama wa maisha yake na kwamba kuna watu wanataka kumuua, moyo wangu hujaa huzuni na maumivu makali. Si kwa sababu ya maneno yake pekee, bali kwa sababu ninamfahamu Padri Kitima kwa undani, si kama kiongozi wa kiroho tu, bali pia kama msomi, mlezi na kiongozi wa kitaaluma.
Nilimfahamu Padri Kitima akiwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) kati ya mwaka 2012–2014, nikiwa mwanafunzi chuoni hapo. Alistaafu nikiwa bado mwanafunzi, lakini aliniachia urithi wa nidhamu, ukweli na ujasiri wa kusimamia haki bila kujali upepo wa wakati.
Nimemchagua Mzee Wasira si kwa bahati mbaya. Angalau leo, yeye ndiye mzee pekee aliyebaki hai na uraiani kati ya wazee waliowahi kualikwa kutoa mihadhara katika Ukumbi wa M13, SAUT. Wengine wawili — Hayati Dkt. John Magufuli na Hayati Samuel Sitta — wako kaburini. Mwingine yuko kwenye kuta za gereza, naye ni Tundu Lissu, ambaye hata angekuwepo, wadharimu wasingependa kumsikiliza akitoa ushuhuda juu ya maisha ya Padri Kitima.
Nimemjua Padri Kitima katika nyakati tatu za uongozi wa kitaifa: enzi za Rais Jakaya Kikwete, Rais John Magufuli na Rais Samia Suluhu Hassan. Katika vipindi vyote hivyo, Kitima amebaki kuwa yule yule, hakubadilika. Anakukosoa uso kwa uso, hadharani au hata ukiwa mbali naye. Hana hofu ya madaraka, wala hana upendeleo kwa mtu.
Mzee Wasira, Hayati Magufuli na Hayati Sitta wanamfahamu Padri Kitima vizuri. Aliwahi kumwambia hadharani mmoja wa mawaziri wakati wa Rais Kikwete kati ya hao niliowataja na wewe ukiwemo kuwa, pamoja na kuwepo mawaziri wachapakazi wachache, yeye hakuwa miongoni mwao na alipaswa kubadilika. Fikiria kukosolewa live kwenye ukumbi, mbele ya watu, na maisha yanaendelea. Huo si uadui, huo ni ujasiri wa maadili.
Kwa hiyo, misimamo ya Padri Kitima si ya mtu binafsi. Ni misimamo ya Kanisa Katoliki, inayojengwa juu ya misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji. Ikumbukwe kuwa Kanisa Katoliki linatambua siasa kama nyenzo ya kuhudumia jamii, na ndilo maana limeandika waraka maalum wa kimataifa wa kusimamia uhusiano wa siasa na maadili — Doctrinal Note on Some Questions Regarding the Participation of Catholics in Political Life” 2002
Ni waraka mfupi, wenye uwezo wa kubadili kabisa mtazamo wa mtu kuhusu siasa. Badala ya kuziona kama mchezo mchafu, unaanza kuziona kama huduma takatifu ambayo kwayo kiongozi atalazimika kutoa hesabu mbele ya Mungu. Hicho ndicho Padri Kitima anakisimamia bila kuyumba.
Msimamo huu unatokana na falsafa ya msingi inayokubaliwa na Kanisa Katoliki kupitia watakatifu wake, “Man cannot be separated from God; no politics without morality.” Hakuna siasa bila maadili.
Mzee Wasira, lau Hayati Magufuli au Hayati Sitta wangekuwepo leo, wangeweza kutoa ushuhuda wazi kuwa ukosoaji wa Padri Kitima haujatokana na udini, chuki, husuda, kiburi, wivu wala ajenda za kumkomoa mtu. Bali unatokana na uwakili wake kwa Kristo, kwa jamii na kwa maadili.
Padri Kitima anatambua mamlaka zilizopo hapa duniani na umuhimu wa kuziheshimu. Lakini anaamini pia kauli ya Mtakatifu Thomas wa Aquinas, “I am a royal servant of the king, but God first.” Huo ndio msimamo anaoupigania, hata kama gharama yake ni maisha yake mwenyewe.
1/2
Catholic priest (Church runs hundreds of hospitals) confirms
what @LarryMadowo and @BenDoBrown & rest of @CNN team reported recently
Security forces were forcefully taking injured protestors (alive) from hospitals straight to morgues
#Tanzania
One for @IntlCrimCourt
Tunapoanza Mwaka Mpya wa Kanisa, nawaalikeni kufanya tafakuri ya kina na kujitathimini juu ya maisha yetu ya Imani. Je, tunaishi tunachokiamini? Tunaamini tunachokisema na kukitangaza. Furaha ya kweli tunayoitafuta ina sura na jina; Yesu Kristo! Majilio haya yawe tofauti na mapya
@SModestius@theSavatir Unashambulia kwa kasi ya bwana Kibisawala. Ujumbe uwafikie watesi na wapambe wao, tutawatenga na kuwabagaza popote pale kwa namna iwayo yote ile kwa ajili ya nafsi ya vijana wenzetu waliofikiwa na udhalimu ule.
@Thommunkondya You're basically mocking those who have lost their loved here.. Mauaji ya kikatili yaliyotokea chini yake ndio legacy yake hiyo. Haitasahaulika akhera na duniani doesn't matter what she does going forward.
Kwa wasioelewa dressing code ya Kanisa Katoliki: Rangi ya SHEREHE (Festive Colour) ni NYEUPE. ZAMBARAU na NYEUSI ni rangi za KUOMBOLEZA/TOBA.
Hivyo Padre kuvaa Kanzu nyeusi na Stola ya ZAMBARAU siku ya kuapishwa kwake ni kuonyesha hakuwakilisha Kanisa kwenye sherehe bali MSIBA!
"Mambo haya nimekuomba usininyime: Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu." {Mithali 30:7-9}
Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
Dreem Hub Project Officially Launched in Mafia Island!
We're excited to kick off the Dream Hub Project in Mafia, focusing on harnessing the Productive Use of Solar Energy (PUSE) to power the Dagaa value chain.
Takiribani vijana 292,758 wamefikiwa na mradi wa #USAIDAfyaYanguMamanamtoto katika kipindi cha mwaka mmoja (Sept 2023 – Oct 2024) na kupatiwa elimu ya afya ya uzazi ikiwemo elimu kuhusu njia mbalimbali za uzazi wa mpango.