Kiungo Mkabaji Yusuph Kagoma amejiunga na Simba SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Singida Fountain Gate.
Taarifa ya Simba SC inaeleza kuwa โKagoma ni moja ya Vijana wazawa wenye uwezo mkubwa wa kuzuia timu ikishambuliwa na kupandisha mashambuliziโ
#MillardAyoSPORTS