@Labella_Mafia95 Asante kwa uzi ila kuna mengi huyafahamu kuhusu Jose na Dani mi sio shabiki ni kama ndugu na mengi anayopita ni matoleo ya kukataa ushauri siku zote l huwezi changanya maji na mafuta when force matokeo ni Abbas afrcan think to marry white is a victory but go dig, no one did it
@xhadzam Bwiru boys,Tosa,galanos,
Shule kama za jeshi KUMANINA inatoka hapo unajua mambo kibao hata kama una zirooo maisha yako yatakua tofauti na wengine.
@ifafricaunite Mbona bongo pia zipo kasino zonaendesha biashara kama hii.
Au wale wenzetu wa DSM maeneo ya posta pia kasino zenye biashara kama hizi zipo na tushaingia tukashuhudia,sio mzungu ni sisi wenyewe weusi tunaendesha haya mambo Kwa sasa.
@GeeMabamba@kaji_sijo Na laiti ingelikua tunafanya kwa parfection basi kusingekua na ukosoaji watu tungeishia kusema ahsante na hongera.
Tuzifanye akili zetu zifanye kaz kwenda mbele na sio kurudi nyuma.
It is time for hustling have a good trial again.
@GeeMabamba@kaji_sijo Tusimlaumu mtoa taarifa labda yeye anaishi kwny sayari yake,
Ila even mim niliye ishia la saba najua dunia ina nchi 195 tu labda hapa sudani kuwe imeongezeka ila what i know is that.
Thanks for your contributions.
Alafu we must know that we do things by trial and not parfection.
@GeeMabamba@kaji_sijo Your reaction symbolize and identify the way you are.stupid minded people always ran front line to become angry for non logical facts either he or she bring to diffend the stupidity of his or her mind.
My dear you hv to come with real facts to clear out my dust stay in my medula
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@DullahTheking2@JayleenRickie@MissChelsea1221 Watu wanazaliwa NH mpaka generation tatu na nne hawajui kujenga na wanamiliki maviwanda,makampuni na mali ambazo zinazalisha kiasi kwamba ukimwambia suala la kujenga anawaza labda ajenge apatment afanye biashara,mjin kila mtu ana plan zake.Only few can understand what i mean.